Nimeondolewa kwenye Tarrif 0 [Tanesco]

Nimeondolewa kwenye Tarrif 0 [Tanesco]

Utatakiwa kukaa ndani ya miezi mitatu ukitumia umeme usiozidi units 75 kwa kila mwezi, baada ya hapo utaenda kwenye ofisi za tanesco tawi lililokaribu yako, utaomba kukurudisha tena kwenye tarrif zero.
AHSANTE.
 
AHSANTE
Kwani unatakiwa ununue wa shingp ndo wasikuondoe
Usinunue zaidi ya umeme wa sh, 3000/-
usizidishe unit 75 per month
 
Hii 0 tarrif imetengenezewa mazingira ya kuwanyanyasa walaji, kwanini wanaweka visheria vya kikandamizaji namna hiyo kwa watu masikini!!

Ningekuwa MD wa hilo shirika ninge automate huo mfumo ufanye wenyewe kila kitu, ni suala la kuweka condition tu kama ikizidi kiasi X kwa mtu wa tariff Y mfumo usipokee fedha au upokee fedha na kupeleka salio lililozidi mwezi wa mbele lakini wanatumia umasikini wa waTz kuwahangaisha na vimasherti vya kijingakijinga visivyo na maana
 
Sasa si uende Tariff 1, ambako hakuna masharti?
 
TANESCO..... Tunatangaza maisha yako
Karibu tukuhudumie ukiwa na "kitu kidogo" mkononi...
Jana walikata na kuwasha umeme mfululizo kama mara 3. Waliporudisha mara ya mwisho line moja yenye nyumba kama 5 ilikuwa haina umeme. Kupigiwa simu hotline yao, jamaa wakaja lakini wakasema wapewe hela ya mafuta ndio warekebishe.

Watu walikitaa kutoa mpaka mzee mmoja akajitolea 5000 ndio wakarekebisha. Hili shirika limejaa uozo toka juu mpaka chini.
 
Hiyo ndo nitolee, kukurudisha tena labda Mkurugenzi Mkuu awe ndugu yako, ukienda utaambiwa huduma haipo wakati kiutaratibu ni ipo ndo maana hata kwenye website yao wameweka. Ukiwaandikia email au malalamiko wanapiga kimya. Mie mita iliharibika nikabadilishiwa mita ambayo automatically haipo hiyo tarriff. Nikaomba wanihamishie balance za unit zangu za mita iliyopita na kuiweka mita mpya kwenye tarriff wakapiga kimya.Nikazama kwenye website nikarusha email waka respond kwenye balance ya LUKU huku kwenye tarriff wakapiga kimya japo nimewakumbusha mara 2.Ungenunua ile ile 9150 upate 69 units
 
Sasa si uende Tariff 1,ambako hakuna masharti?
Mkuu Watanzania wengi wanatumia umeme chini ya unit 75 kimsingi wanapaswa kulipa 9150 (buku 9) ila kutokana na teknolojia ya LUKU ni pre-paid ni ngumu kutambua nani ni mtumiaji mdogo na nani mtumiaji mkubwa na ndio maana unakwenda TANESCO wanai-set mita ila baada ya ku-review matumizi yako ya miezi 6.Enzi za mita ilikuwa simple msoma mita akisoma akakuta hukuzidi 75 unit bill inakua chini ya mwekundu ila ikizidi 75 tu bill inaanzia 27,000.Kimsingi anaetumia umeme wa 25,000 kushuka chini anapaswa kuwepo tarriff 0 ila TANESCO wana discourage wanajua hawapigi ela, just imagine 75unit kwa 9150 per month
 
Sababu za kuondolewa ni kununua umeme wa elfu 10 ili itakapokatwa kodi ya makazi ibaki elf 9 ndo iwe malipo ya umeme. Sijui hata nifanyeje jamani maskini mimi
Hawakuondoi mara moja mpaka miezi mitatu kwa matazamio. Hata kama wamekupa umeme kidogo sasa. Mwezi ujao ukitupia elfu 9 watarudisha

Hata hivyo ukitupia elfu 10 ile ya Kodi elfu 1 haikukatwa?
 
Back
Top Bottom