Nimeondokewa na baba yangu!

hehehe, hebu toka hapa. lokesheni manake ndo kwetu ama ndo nilipo?
kichwa kama dagaa uduvu:hug:
Location : Masaini


RIP baba yetu. Mungu awape amani na faraja wakati huu mgumu!
 
Too bad!
Naungana nanyi katika kipindi hiki cha maombolezo ya baba yetu mpendwa.
Mungu ampumzishe panapo salama, zaidi sana muliobaki huku juu muunganishwe zaidi na tukio hilo.
 
Poleni sana.
Mungu awafariji sana na kuwatia nguvu na kuwaongoza ktk kipindi hiki cha maombolezo.
Shukran
 
Pole meku, mungu aipumzishe roho yke mahali pema peponi, amen!!
 

Pole sana Maege, Mungu awatie nguvu na kuwatuliza kwenye kipindi hiki kigumu.
 
Licha ya ukweli kwamba ni njia yetu wote, suala la kuondokewa na mtu wa karibu halijawahi kuzoeleka.
Pole sana maege, Mungu awape nguvu na ustahilivu wakati huu mgumu.
 
Last edited by a moderator:
pole sana kwa msiba wa baba. Nakutakia kila lililo jema katika kipindi hiki kigumu wewe na familia yako
 
Pole sn kiongozi.. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…