matongo manawa
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 336
- 79
Ila ana nikeraga anapomsifu Lowasa!Kama kunamwandishi aliyeandika makala nyingi za kumshauri Rais Kikwete ni mzee Mayenga,
Nikwasababu hiyo nilipomwona moyo wangu ukanipigia yowe ukisema nenda hata msalimie mzalendo huyu.
Nami nilitii bila kinyongo nilijongea alipokaa eneo la Break point nilimpa heshima yake nikamwambia "
mzee tunashukuru kwa makala kwa kweli tunapata chakula cha kutosha naye akajibu kwa tabasamu pana asnte tunashukuru kwa kutuunga mkono"
Haraka haraka nilichukua gazeti la Tanzania daima,na wiki hii kaandika"Rais wangu Kikwete:Nchi yangu kwanza
iwe salaam ya kitaifa"
Uandishi wake ni ule unaozingatia itifaki ya heshima,lkn kinachonishangaza pamoja na ushauri wake murua kwa
mpendwa raisi hajawahi kusikilizwa ushauri wake,mzee huyu amekuwa akifanya kazi Kama ya kutwanga maji kwenye
kinu.
Je ni lini serikali sikivu ya kinadharia itakuwa sikivu kwa vitendo ili isikie ushauri huu?
Mzee Mayenga songa mbele mbegu unayopanda haipotei bure
kama si leo itaota kesho.
Mungu akufungilie zaidi.
Ila ana nikeraga anapomsifu Lowasa!
kila mtu ana mapungufu hata mm namsoma sana huyu mzee lakini kumsifia marakwa mara lowasa mh!huo ni mtazamo wake... Kwake yeye lowassa anafaa kwako hafai. Mzee mayega hunifanya nisubiri jumatano kwa hamu kubwa sana. Yeye sio mnafiki anasema kweli, tena kweli tupu. Historia itamkumbuka sana mzee huyu. Nawashauri pia tafuteni kitabu chake mwalimu mkuu wa watu
Ni kweli Mkuu...inaweza kuleta sura ya kununulika...kila mtu ana mapungufu hata mm namsoma sana huyu mzee lakini kumsifia marakwa mara lowasa mh!
MUNGU akubariki mpendwa mwana mwema tushirikiane kumshauri Rais wetu.Sisi wana mwl forum motto yetu ni nhi yangu kwanza karibuni mwalimu forum.Kama kunamwandishi aliyeandika makala nyingi za kumshauri Rais Kikwete ni mzee Mayenga,
Nikwasababu hiyo nilipomwona moyo wangu ukanipigia yowe ukisema nenda hata msalimie mzalendo huyu.
Nami nilitii bila kinyongo nilijongea alipokaa eneo la Break point nilimpa heshima yake nikamwambia "
mzee tunashukuru kwa makala kwa kweli tunapata chakula cha kutosha naye akajibu kwa tabasamu pana asnte tunashukuru kwa kutuunga mkono"
Haraka haraka nilichukua gazeti la Tanzania daima,na wiki hii kaandika"Rais wangu Kikwete:Nchi yangu kwanza
iwe salaam ya kitaifa"
Uandishi wake ni ule unaozingatia itifaki ya heshima,lkn kinachonishangaza pamoja na ushauri wake murua kwa
mpendwa raisi hajawahi kusikilizwa ushauri wake,mzee huyu amekuwa akifanya kazi Kama ya kutwanga maji kwenye
kinu.
Je ni lini serikali sikivu ya kinadharia itakuwa sikivu kwa vitendo ili isikie ushauri huu?
Mzee Mayenga songa mbele mbegu unayopanda haipotei bure
kama si leo itaota kesho.
Mungu akufungilie zaidi.
Ila ana nikeraga anapomsifu Lowasa!
Huyu mzee humsifia Lowassa kwa yale mazuri aliyofanya akilinganisha na huyu asiye fisadi mtoto wa mkulima!
Ni kweli Mkuu...inaweza kuleta sura ya kununulika...
Mayega rafiki yake Lowassa,labda na yeye hawajakutana barabarani tutajuaje?Kibanda naye wiki mbili anamtetea Kinana kuwa ni kamanda!Yote maoni tu maana kila mtu na vionjo vyake,lakini ukitumia mas media kumsifia mtu ukaacha kuuchambua mfumo mzima unakuwa kama na fikra ziisizokuwa pana vile?
Anze kumshauri Liwalo na Liwe....maana huyo mwingine ni pasua..
Mungu akubariki kwa kunielewa
Ila ana nikeraga anapomsifu Lowasa!
Mwalimu Mkuu....Kama ni wewe kweli, ubarikiwe sana. Nimesoma makala yako ya leo umesema umetimiza miaka 60. Ubarkiwe sana. Niliposema inaweza kuleta sura ya kununulika sikumaanisha wewe umenunuliwa. Nilimaanisha kwamba kwa mtazamo wa baadhi ya watu unaporudia kila mara kumsifia mtu wanaweza kudhani umenunuliwa. Nafahamu kwamba Pascally Boniface Mayega...Mwandishi wa "Mwalimu Mkuu wa Watu" ni mtu mwenye maono ya mbali sana. Kama wewe ndie basi Mungu akuongezee walau miaka 15 hivi ili uendelee kuandika makala kwa ajili ya kutuunganisha watanzania. Nimewahi kukupigia simu mwaka 2010 ukanikaribisha Kongowe bahati mbaya siku ya pili nilikuwa na safari ya kwenda Mkoani. Sasa nipo hapa mjini na ningependa nipate japo saa 1 tu nionane na wewe.Hakuna anayeweza nunua uzalendo wa mtu na mamaye na ndio maana kila mara nasema mama yangu TANZANIA
Sasa kwanini hutumii jina lako la kweli?