Naomba niwaulize swali nyie waislamu.
Je! mtakubali RC nao wapewe haki ya kuwa na jeshi na mji wao kama Vatcan?
Na wawe na mabalozi wao nchi mbalimbali na wahudumiwe na serikali?
Mf:- Dar iwe mji na makao makuu ya Wakatoliki, na iwekwe kikatiba?
cc: Tofyo
nashukuru kwa swali lako lenye sehemu a,b na c
nianze na (a)
kuhusu jeshi kama utakumbuka 1991au92 sherehe za ujio waPAPA pale jangwani tulisikia risala ikisomwa kwamba Kanisa linashukuru, kwasababu mpaka sasa lina kamati ya JESHI.
kwahio kwa kifupi kanisa linajeshi ambalo hata papa anajua na Vatcan linatambulika.
sehemu(b)
Rc wanabalozi ambae anaiwakilisba Vatican na hill wala haliitaji mjadala mrefu.
sasa naona bado haujalizika unataka iwe nchi rasmi kama ilivyo Vatican tena nao wawe na balozi.mimi sioni tatizo kama waislam nao wakipewa mambo kama hayo.
na kama mji mkuu ukiwa Dar basi mji mkuu wa waislam uwe Arusha sio mbaya.
sehemu (c)
hitimisho:
'mawazo ya watu kama wewe ni mawazo ya uwoga uliopandikizwa na wakuu wa makanisa kwa lengo la kuukandamiza uislam.kwani wao wanaona Waislam kupata M/kadhi ni mafanikio na ni heshima kubwa kwa waislam.
isitoshe ndoa nyingi za waislam zitadumu jambo ambalo litapelekea ongezeko la kizazi cha kiislam kitacholeta upinzani mkubwa j
kwao miaka 30 ijayo
urithi utasimamiwa ipasavyo kwa uwadilifu na kwa imani ya kumuogopa allah hii itapelekea economic stability miongoni mwa waislam jambo ambalo litarudisha nyuma jitihada zao za kuurudisha nyuma uislam.
sisi waislam tunajua vyema tatizo mahala lilipo na tunajua namna tutakavyo litatua.ikishindikana mezani basi jua kwamba nchi tutaigawa.
na tunauwezo wa kuitisha harakati za UHURU kama tulivyo kuleteeni Uhuru wa TANGANYIKA NA ZANZIBAR.