If only kama amepa mkorosho
kama ni matikiti maje je?
that means kuna watu wanavuna every 60 days....
huku yeye bado anasubiri lol
we acha tu,mwenyewe niliweka mipango ndio wife to be! ila ananichosha kwa kweli saiz nipo njia panda
Simple test. Mpotezee. Acha kumtafuta daily na siku akikutafuta na wewe leta nyodo kiduchu then umuambie nimekipa space ujifikirie kama unanihitaji ama la. Ukiona hajakusaka kwa nguvu ujue sio wako huyo. Rudi uanzishe thread tukutafutie boonge la magumashi humu.
Simple test. Mpotezee. Acha kumtafuta daily na siku akikutafuta na wewe leta nyodo kiduchu then umuambie nimekipa space ujifikirie kama unanihitaji ama la. Ukiona hajakusaka kwa nguvu ujue sio wako huyo. Rudi uanzishe thread tukutafutie boonge la magumashi humu.
achana naye huyo, demu ukishamzoea na kumsoma usoni haichukui muda kujua anakupenda, sasa huyo 2 yrs!!!
hata kama akikukubali baadaye itakuwa sio ni kwasababu anakupenda, ni itakuwa ni sababu atakuwa anakuhurumia kwamba umemtesekea sana, hivyo ataona bora tu akukubali kwa kukuonea huruma.
...inawezekana anakuona na wewe ni mtoto anasubiri ukue :mad2::mad2:
=mwananthropolojia;6225593]vitu gani hivyo vinavyoweza kumfanya anione sijakua?
Du! kuna watu ni ving'ang'anizi aisee!
aiseh kwa style hiyo ningekuwa mimi ningekuwa nimeshakutimua siku nyiiiingi,labda umekuwa comedian wake ndo maana anakuenjoy na ww umo tu.
Kweli umechoka, bt kuna kitu nyuma ya pazia.
labda una pozi za mshika mapembe zaidi ya kuwa mmiliki mali! usijali subiri huruma!
Duh miaka miwili?
ungekuwa na shamba la mahindi ungevuna mara ngapi?
Najitolea kuwa gumashi.
Kajitambulishe kwao na umuoe. si kufanya uasherati, binti anakupenda ndomana anakuja na mnaongea
You are too much of a gumashi wewe. Utamuua mtoto wa watu kwa presha. Size yako kina matek, cheni bandia na pesa bandis, hata tbs wanaruhusu.