Wakuu habari zenu,
Kama tittle ilivyo, nina mke mwaka wa pili sasa na tuna mtoto mmoja aliye na mwaka, tatizo lilinikumba ni kuwa mke wangu amewahi kutoa mimba mara mbili jambo ambalo limenichanganya sana.
Naombeni ushauri kwenu nifanyeje kati ya haya? Nipotezee, nimwambie au mtose kimyakimya?