Nimeona aibu rais Magufuli anavyomsifia Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Heshima kwenu wakuu,
5f3b32c981577545db4368c5193dc49b.jpg

Kwakweli hata mimi naanza kuliona ombwe la Uongozi Tanzania.

Bado naamini rais hamanishi anachokisema juu ya sifa anazompa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kwamba anafanya kazi vizuri. Hili ndo Tatizo la kuchanganya kazi za kisiasa na Kazi za Serikali.

Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ambaye ni Waziri wa Mambo ya ndani katika nchi zinazofuata utawala wa Sheria alitakiwa awe amejiuzulu na kufunguliwa mashitaka kwa matumizi mabaya ya Ofisi.

Namlaumu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kwa sababu hizi;

1. Anashiriki kwenye Kampeni za CCM na kutumia kofia yake kuwaminya vyama vya Upinzani. Uchaguzi mdogo ulopita watu walilalamikia jeshi la Polisi kuminya Demokrasia, na Mwigulu ndo analiongoza Jeshi la Polisi. Usalama wa raia upo chini yake. Hivyo vyombo vya chini vinaweza kufanya mambo yasiyofaa kumfurahisha boss.

2. Mauaji ya Kibiti aliwatuhumu vyama pinzani wa CCM kama ndo wanahusika. Alikuwa anasema kwanini wauawe wa CCM tu? Hapo anaongea hivyo Polisi wapo. Kilichoendelea wote wanajua.

3. Watu waliokotwa kwenye Viroba huko Ruvu na kuzikwa huko huko, hakuna alichokiongelea wala kuonesha kusikitika.

4. Watu wanaokotwa baharini lakini hatoi ripoti wala Kukemea hii hali

5. Ben Saanane amepotea yeye yupo tu Ofisini

6. Mwandishi wa habari wa Mwananchi kapotea lakini Mwigulu haoneshi hata haja ya kumtafuta.

7. Tukio la Lissu Kila Mtu anajua.

Swali langu, Je, Rais anapomsifia Waziri wa Mambo ya ndani Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba sisi Wananchi tueleweje?

Kuna watu wa Kusifia kama Lukuvi, Mbarawa, Jafo, Waziri Mkuu n.k.

Kumsifia Mwigulu ni kuipaka Matope Tanzania.

Mwigulu kama anashindwa kujiuzulu kwa matukio haya, anapaswa atenguliwe achaguliwe Waziri Mwingine.

Leo Rais Magufuli amempongeza Waziri Mwigulu Nchemba Idara ya Uhamiaji kwa kufanikisha mradi wa mfumo mpya wa Pasipoti za Kielektroniki.

Mungu tusaidie.

Watanzania tuendelee kuiombea Serikali yetu isije ikanuka damu. Sababu damu ya binadamu haiendi bure, inakufuata hadi kizazi chako.

Rais huyu kama hapendezwi na "uchapaji kazi" wa waziri wake basi ni mwepesi sana kumuondoa waziri huyo. Mfano, ni Nape Nnauye, ambae leo hii sio waziri kwasababu mkuu hakupenda jinsi alivyotaka kulichimba suala la Bashite. Hivyo basi, kama Mwigulu anaendelea kuwepo kwenye nafasi yake kama anavyoendelea kuwepo Bashite, basi ujue wazi kwamba wawili hawa wana baraka zote za rais. Huo ndio ukweli ambao hauhitaji elimu kubwaaaaa kuujua....
 
Heshima kwenu wakuu,
5f3b32c981577545db4368c5193dc49b.jpg

Kwakweli hata mimi naanza kuliona ombwe la Uongozi Tanzania.

Bado naamini rais hamanishi anachokisema juu ya sifa anazompa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kwamba anafanya kazi vizuri. Hili ndo Tatizo la kuchanganya kazi za kisiasa na Kazi za Serikali.

Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ambaye ni Waziri wa Mambo ya ndani katika nchi zinazofuata utawala wa Sheria alitakiwa awe amejiuzulu na kufunguliwa mashitaka kwa matumizi mabaya ya Ofisi.

Namlaumu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kwa sababu hizi;

1. Anashiriki kwenye Kampeni za CCM na kutumia kofia yake kuwaminya vyama vya Upinzani. Uchaguzi mdogo ulopita watu walilalamikia jeshi la Polisi kuminya Demokrasia, na Mwigulu ndo analiongoza Jeshi la Polisi. Usalama wa raia upo chini yake. Hivyo vyombo vya chini vinaweza kufanya mambo yasiyofaa kumfurahisha boss.

2. Mauaji ya Kibiti aliwatuhumu vyama pinzani wa CCM kama ndo wanahusika. Alikuwa anasema kwanini wauawe wa CCM tu? Hapo anaongea hivyo Polisi wapo. Kilichoendelea wote wanajua.

3. Watu waliokotwa kwenye Viroba huko Ruvu na kuzikwa huko huko, hakuna alichokiongelea wala kuonesha kusikitika.

4. Watu wanaokotwa baharini lakini hatoi ripoti wala Kukemea hii hali

5. Ben Saanane amepotea yeye yupo tu Ofisini

6. Mwandishi wa habari wa Mwananchi kapotea lakini Mwigulu haoneshi hata haja ya kumtafuta.

7. Tukio la Lissu Kila Mtu anajua.

Swali langu, Je, Rais anapomsifia Waziri wa Mambo ya ndani Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba sisi Wananchi tueleweje?

Kuna watu wa Kusifia kama Lukuvi, Mbarawa, Jafo, Waziri Mkuu n.k.

Kumsifia Mwigulu ni kuipaka Matope Tanzania.

Mwigulu kama anashindwa kujiuzulu kwa matukio haya, anapaswa atenguliwe achaguliwe Waziri Mwingine.

Leo Rais Magufuli amempongeza Waziri Mwigulu Nchemba Idara ya Uhamiaji kwa kufanikisha mradi wa mfumo mpya wa Pasipoti za Kielektroniki.

Mungu tusaidie.

Watanzania tuendelee kuiombea Serikali yetu isije ikanuka damu. Sababu damu ya binadamu haiendi bure, inakufuata hadi kizazi chako.
Wewe sasandiyo unaingiza siasa hapa.Uliyoyataja yote hapo juu yalishatolewa ufafanuzi kwa kina unataka nini zaidi? au unataka roho ya mtu sasa? Usiingize hisia zako za kike wanaume wanapoongea....samahani kwa lugha kiume
 
Kamanda figga wewe ni shabiiki Upinzani mpango wa akademia, sawa na kina baregu na yule askofu lakini deep down nia yenu Upinzani. Maswala yako ni kichekesho kama si yangu kijinga, yaani kumlaumu Nchemba kwa kufanya kazi yake ni sawa na kuulizwa Mbowe Kiogozi wa Upinzani anafanyaje tena kazi yake kumsafisha Fisadi Lowassa? Au kumnadi Mbunge wa Kinondoni. Ni sawa na kusema Tundulissu kwa nini atusaliti dhahabu na ndege yetu badala ya kuhudumia wapiga kura wake? Umetaja tuhuma nyingi tu lakini hapo hapo unajijibu mwenyewe. Kibiti wapinzani hawakuuliwa waliandamwa hata Katibu Kata wa CCM, wa kuulizwa si Nchemba ni wapinzani. Ben Saanane aulizwe mtu wa mwisho kumuona, Mbowe, sawa na Chacha Wangwe. Wahamiaji haramu wa Somalia na Ethiopia wanahama na kutupwa baharini au porini Jiulize kwa nini wanapitia Tanzania au wewe unadhani ni wapiga kura wameletwa na CCM kushinda udiwani wa Meru? Mwandishi wa gazeti kupotea liulizwe Gazeti lenyewe liwataje maadui "vyanzo" labda walichukizwa baada ya kufichuliwa kwa IGP Sirro Kwa nini CCM iwe na ugomvi naye? Au alikuwa CCM? Nchemba kakomesha masikioni Amboni na Mwanza na Kibiti kwa nini asisifiwe? Nchi ina AMANI na geisha, kwa nini asisifiwe? Kuokoa Shs bilioni 400 za dili za passport, kwa nini asisifiwe? Kosa lake kumnadi Diwani wa CCM? Alikuomba sofa, sote tunajua wapinzani wakishindwa of course hamtafurahi. Ni haki yako endelea kulaumu ila mbona Nyalandu umemficha Siha au Kinondoni? Mlete tumuone Kamanda Nyalandu.
 
Nilikuwa simfahamu mh Majaliwa. Lakini baada ya kumsikiliza, namkubali. Ninaamini alitakiwa awepo kwenye short list ya wagombea urais.

Ila chini ya utaratibu tulionao, kamwe hatutaweza kuwapata watu kama hao. Siasa zetu ni ujinga! Or at least zimegeuka kuwa ujinga kabisa!

Mwalimu aliwahi kusema “siasa ni kilimo” kwenye azimio la Iringa. Nilijiuliza kwanini aseme hivyo? Pengine kuna waliotaka kuibadili siasa kuwa ujinga Or something kama ilivyo sasahivi?

Nimegunduwa siasa inaweza ikabadilishwa. Sisi ya kwetu imekuwa ujinga!
Kwa Tanzania, wale wenye uwezo na kipawa cha kuongoza huwa hawataki kabisa kuongoza mpaka wasukumwe!
 
Mkuu anasifiwa sababu hayo malalamiko yako ndio kazi alizotumwa kuzifanya, kwahiyo kazifanikisha vzr.
 
Kwani wewe unajua alipomteua alimwambia anataka afanye nini wizarani?anamsifu kutokana na utekelezaji wa maagizo ya kazi take.
 
Bado naamini rais hamanishi anachokisema juu ya sifa anazompa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kwamba anafanya kazi vizuri. Hili ndo Tatizo la kuchanganya kazi za kisiasa na Kazi za Serikali.
Siku zote bosi wako ndie anaejua kiwango chako cha utendaji
Huwezi kulazimisha waziri kada wa ccm,asiende kwenye kampeni,hata chadema mkichukua nchi mtayafanya haya mfano mbowe kutumia gari la serikali na walinzi kwenye kampeni za chadema
 
Mwigulu yupo vizuri kiutendaji, kama wewe huoni, unalako jambo, unazungumuza kibiti wakati Imedhibitiwa! Hali yauhalifu nchini imeshuka kabisa amani inazidi kutamalaki wewe huoni? Tatizo unachanganya siasa na kazi na chuki zako binafisi
 
Ukiona Magu kakusifia ujue siku si nyingi anatega mtego.. Namkumbuka Maghembe pia aliwahi kupewa sifa kibao.. Na kama kumbukumbu zangu zinavyoniambia akiwa anazindua mradi mkubwa wa maji kutoka ziwa victoria kwenda Miji ya Tabora, Nzega na Igunga alimsifia kila mara waziri wake wa Maji Greyso Lwenge, Kilichotokea wote tunafahamu
 
Heshima kwenu wakuu,
5f3b32c981577545db4368c5193dc49b.jpg

Kwakweli hata mimi naanza kuliona ombwe la Uongozi Tanzania.

Bado naamini rais hamanishi anachokisema juu ya sifa anazompa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kwamba anafanya kazi vizuri. Hili ndo Tatizo la kuchanganya kazi za kisiasa na Kazi za Serikali.

Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ambaye ni Waziri wa Mambo ya ndani katika nchi zinazofuata utawala wa Sheria alitakiwa awe amejiuzulu na kufunguliwa mashitaka kwa matumizi mabaya ya Ofisi.

Namlaumu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kwa sababu hizi;

1. Anashiriki kwenye Kampeni za CCM na kutumia kofia yake kuwaminya vyama vya Upinzani. Uchaguzi mdogo ulopita watu walilalamikia jeshi la Polisi kuminya Demokrasia, na Mwigulu ndo analiongoza Jeshi la Polisi. Usalama wa raia upo chini yake. Hivyo vyombo vya chini vinaweza kufanya mambo yasiyofaa kumfurahisha boss.

2. Mauaji ya Kibiti aliwatuhumu vyama pinzani wa CCM kama ndo wanahusika. Alikuwa anasema kwanini wauawe wa CCM tu? Hapo anaongea hivyo Polisi wapo. Kilichoendelea wote wanajua.

3. Watu waliokotwa kwenye Viroba huko Ruvu na kuzikwa huko huko, hakuna alichokiongelea wala kuonesha kusikitika.

4. Watu wanaokotwa baharini lakini hatoi ripoti wala Kukemea hii hali

5. Ben Saanane amepotea yeye yupo tu Ofisini

6. Mwandishi wa habari wa Mwananchi kapotea lakini Mwigulu haoneshi hata haja ya kumtafuta.

7. Tukio la Lissu Kila Mtu anajua.

Swali langu, Je, Rais anapomsifia Waziri wa Mambo ya ndani Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba sisi Wananchi tueleweje?

Kuna watu wa Kusifia kama Lukuvi, Mbarawa, Jafo, Waziri Mkuu n.k.

Kumsifia Mwigulu ni kuipaka Matope Tanzania.

Mwigulu kama anashindwa kujiuzulu kwa matukio haya, anapaswa atenguliwe achaguliwe Waziri Mwingine.

Leo Rais Magufuli amempongeza Waziri Mwigulu Nchemba Idara ya Uhamiaji kwa kufanikisha mradi wa mfumo mpya wa Pasipoti za Kielektroniki.

Mungu tusaidie.

Watanzania tuendelee kuiombea Serikali yetu isije ikanuka damu. Sababu damu ya binadamu haiendi bure, inakufuata hadi kizazi chako.
Haya nabii Tito tumekusikia.
 
Back
Top Bottom