- Thread starter
- #81
kutegemea na changamoto za mimba ziwakabiliazo mabinti ambazo nyingi zao uanza hivyo, nimehisi kama sijapotea kuleta hapa ingawa simaanishi nawaza ngono km unavyonifikiriaAlikuomba kimapenzi? Kumpa kwako kuna uhusiano gani na jukwaa hili la Mapenzi na urafiki? Unadhani adhabu ya miaka 30 imepungua?
