Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Usijitese Kwa jambo ambalo linawezekana cha msingi mfanye siri, Kwa nini ujinyime kitu roho inatamani utajitesa bure, nakushauri mkubalie hautajuta, mbona mume wako anafanya. Hayo Mambo hayakwepeki kwenye dunia ya sasa
ni wewe nini? sio kwa ushauri huu
 
Daah! Nikiona hivi hadi nasisimka mwili. Laiti tungeweza kujua yaliyo mioyoni mwa wake zetu. Ukishatembea na huyo jamaa lazima umdharau mumeo kwasababu jamaa atasimamia ukucha ipasavyo hadi uone mumeo hamna kitu. Na huyo jamaa lazima amdharau mumeo na atawaeleza marafiki zake story itaenea na utaonekana malaya tuu. Kiufupi kila atakapokatiza mumeo watakuwa wanamchora tuu na kumdharau. Tofauti na mwanaume akitembea na mwanamke mwingine nje ya ndoa, ni vigumu kumdharau mkewake wa ndoa maana atasimamsimamia ukucha kwani kawaida mechi za ugenini huwa za kibabe na huo mchepuko ukikuona unakuwa na adabu na kupita mbali.
Chamuhimu ongea na mumeo umkanye hiyo tabia yake na ufunguke waziwazi kuwa kutokana na tabia yake hiyo, inafika mahali hadi unatamani angekupa attention kama wanazokupa watu wanaokutongoza huko njiani na kazini(mwanamke kutongozwa ni kawaida). Hapo ataelewa somo na atajiongeza.
 
Kuna wanaume ving'ang'anizi kasha jua wewe ni mke wa mtu lakini bado anajisogeza kuna siku ataangukia pabaya.
 
asante mkuu nashukuru kwa kunishauri bila kunijudge.Mume wangu naongea nae sana ila sijui ndo kashanizoea hata hajali anachukulia poa tu maisha yanasonga.
 


Zidisha UPENDO kwa mume wako wewe.. hizo hisia za huyo Jamaa achana nazo..unawajua wanaume wewe???? sikiliza Utampa KIPOCHI MANYOYA atakuchapa NAO mara ya KWANZA, ya PILI na labda ya TATU halafu atakutupa kwenye Dustbin..na of course hapo ofisini itajulikana tu hakuna siri ya wawili inayodumu...TAKE CARE WEWE MWANAMKE..
 
Nimemsoma Mara mbili mleta uzi,

Sishawishiki kuwa Mleta uzi ni Mwanamke kwa kadri ya Maandishi na lugha alizotumia huku akijitambulisha ni Mwanamke Tena Mtu wa sala na maombi
sikusema me mtu wa maombi 24/7.Ila nimekulia kwenye maadili flan na nna hofu ya Mungu.na nimeweka wazi changamoto nyingi nazopitia nasali sana zinapita.Ila kwa hili naona shetani kaning'ang'ania.Sikuwahi kuwaza kutoka nje ya ndoa yangu wala kuwa mchepuko wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…