Nimeokota simu

bro we ni ndugu yangu,lakini nakushauri si kila kitu uanzishe thread, hili jukwaa ni la GT sasa ukileta nyuzi za namna hii unatujazia server.
 
WANAJAMVI NIMEONANA NA MWENYE SIMU LAKINI ALINIAMBIA HANA PESA HIVYO AKANIPA 5000 KISHA BAADA YA MUDA AKANITUMIA SMS HII "mudogo wagu na shukuru sana akubariki cna chakukupa rakin kwasbabu kukupa chochote kinaisha rakin nataka nkubea kwa mgu krack asate muchana mwema" TUFUNGE MJADALA TAFADHALI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…