Nimeokota simu

Mkuu kwa jinsi jamaa alivyokuwa anaongea nadhani hata muda huu bado hajalala ila simu ina thamani ya elfu 20 pia ina memory card ya 4 gb jumla hapa sikosi elfu 30.
Hahahaha!!

Dah!!yaani ukiiuza hiyo simu ina thamani ya elfu 30 tu?
 
Onyesha tu utu wema mkuu.Utu wema unalipa.Kiukweli hustahili chochote.Mwache aamue mwenyewe cha kukupa.Utapata baraka kama utamrudishia simu yake.Dhuluma hailipi mkuu,unajitafutia tu laana katika maisha.
Mkuu hapana aisee na mimi nataka pesa.
 
Mkuu hapana aisee na mimi nataka pesa.
Sawa mkuu,lakini hata kama hiyo hela utaipataa,sio hela halali,ni hela haramu,na wewe ni Muislam.Halafu kumbuka unaweza ukakamatwa.Si aibu hiyo mkuu.
 
Sawa mkuu,lakini hata kama hiyo hela utaipataa,sio hela halali.Halafu kumbuka unaweza ukakamatwa.Si aibu hiyo mkuu.
Mkuu mimi pia nimefikiria sana na kabla ya kumpa simu nimeshawaweka tayari watu kama watatu wa kunipa kampani naimani mambo yatakwenda sawa.
 
Kwani kuna biashara gani umefanya kiac kwamba umwambie aongeze mpaka 50 kuwa mwaminifu mrudishie simu yake
 
Kwani kuna biashara gani umefanya kiac kwamba umwambie aongeze mpaka 50 kuwa mwaminifu mrudishie simu yake
Ukweli kwamba jamaa ni mtu wa runzewe na mimi ni mtu wa ushirombo na nina uwezo wa kupata faida kupitia hii simu sema inaonekana kiasi cha pesa kilicho kwenye m pesa ndio kikwazo kikubwa cha jamaa kuitaka hii simu pia ukizingatia anaonekana kikumbukumbu hayupo vizuri kutokana na matamshi yake katika sms hivyo mchakato wa kurenew laini hatouweza manake watataka details kibao ila wacha tuone itakavyokuwa kesho.
 
mbona
mbona distance kutoka runzewe to ushirombo sio mbali mwambie apande gari tu aifate akishindwa tafuta hata njia nyingne itakayo kuwa bora
 
Niliokota simu.jamaa akanipigia.akaniambia ameangusha simu yake.nikamwambia njoo uchukue.akanipa 10,000.
Na mwingine aliangusha nikaiokota.akanipigia nikamwambia njoo uchukue akanipa 2,000.sikumaind wala nini.
 
Niliokota simu.jamaa akanipigia.akaniambia ameangusha simu yake.nikamwambia njoo uchukue.akanipa 10,000.
Na mwingine aliangusha nikaiokota.akanipigia nikamwambia njoo uchukue akanipa 2,000.sikumaind wala nini.
Mkuu yaani buku 2 tu? Dah mi hapana aisee anipe walau 5 na kuendelea.
 
MPE HATA BILA MALIPO MKUU UTAJALIPWA KIKUBWA HATA USIAMINI.
 
Poa nitakuongeza hiyo 20 ili ifike 50, manake simu yangu ni sawa na ofisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…