Nimeokota simu

Mkuu ayaaah acha uzembe mkuu yaani laiti ingekuwa ni mimi ningekula tunda na hela angenipa.
Hahaha, wewe una ugwadu sana.

Vitu vya kawaida sana hivyo.

Halafu mtoto wa kitasha alikuwa kazibukia Africa aliniambia ndiyo kwanza katoka kutembea Senegal.

Mimi nina Bi Zuhra siwezi kumsaliti mkuu.
 
Heti wakuu 30000/= itatosha kweli au nimwambie aongeze pesa walau 50000/= manake jamaa ana 291,000/= kwenye M-PESA.
Simu yenyewe ina thamani gani? Kama ni kitochi chukua tu hiyo thirty, maana ataenda kurenew line atoe pesa zake za M pesa na hiyo elfu hamsini badala ya kukupa wewe akaongezea hela kidogo akanunua simu mpya... Kula tu hiyo Thirty mkuu... Tamaa mbaya. Jamaa akighairi hutopata hata mia.
 
Ehee!!kalifatia nini kwa badae mkuu?
Tulibadilishana namba halafu hata sikufuatilia, nilikuwa busy sana na kazi.

Mtoto wa kitasha kazibuka na Africa hapo alikuwa karudi kutoka Senegal.

Mambo ya ubinadamu tu, usitake kupata advantage hapo hapo.
 
Tulibadilishana namba halafu hata sikufuatilia, nilikuwa busy sana na kazi.

Mtoto wa kitasha kazibuka na Africa hapo alikuwa karudi kutoka Senegal.

Mambo ya ubinadamu tu, usitake kupata advantage hapo hapo.
Ahaaa!!Bhasi poa mkuu

Vipi kwema lakini
 
Usimrudishie nenda katoe tuu hiyo hela maana wewe ni mtaalam wa kuingiza vocha bila ya kukwangua
Mkuu nimeshakusudia kumrudishia hivyo siwezi kufanya uhuni wowote manake nimempa namba yangu halisi ya voda na laiti kama nikifanya wizi wowote nitakamatwa tu.
 
Onyesha tu utu wema mkuu.Utu wema unalipa.Kiukweli hustahili chochote.Mwache aamue mwenyewe cha kukupa.Na utapata baraka kama utamrudishia simu yake.Dhuluma hailipi mkuu,unajitafutia tu laana katika maisha.
 
jaribu kuvaa viatu vya huyo jamaa ndo utajua asante tu inatosha
 
Hahaha, wewe una ugwadu sana.

Vitu vya kawaida sana hivyo.

Halafu mtoto wa kitasha alikuwa kazibukia Africa aliniambia ndiyo kwanza katoka kutembea Senegal.

Mimi nina Bi Zuhra siwezi kumsaliti mkuu.
Mkuu dah natamani sana ningeokota mimi nadhani ningeweka rekodi kwenye historia ya maisha yangu kwa kutembea na mtoto anazunguka afrika nzima.
 
Mkuu kwa jinsi jamaa alivyokuwa anaongea nadhani hata muda huu bado hajalala ila simu ina thamani ya elfu 20 pia ina memory card ya 4 gb jumla hapa sikosi elfu 30.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…