Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
- Thread starter
-
- #41
Mkuu hata mimi nina valu valu huu muda sio salama.Kuwa muangalifu,,utaibiwa sasa hivi
Yaani napenda hela kishenzi chalii angu .Hivi tunapoendelea utataka akulipe na risiti akuandikie. Maana upo vizuri katika kupenda hela.
atakuwa bashite
Mkuu kwahiyo kupenda kwangu kupewa kifuta jasho ndio uniweke katika kundi la watu na sio binadamu?Inaelekea bado hujanielewa weye
[B ]watu wengi (wewe mmoja wapo) lakini binaadamu wachache(wewe si mmoja wapo) [/B]
Pengine nkikuambia hivyo unaweza elewa
Na ndo mana mungu akafanya wepesi wewe uipate ili uirudishe.Mkuu ila mi naona anipe hata elfu 50 tu manake alipoiangushia ni sehemu ambapo vijana wanachezea kamari so wangeinkota wao na lain wangekuwa washavunja kitambo sana.
😛 😛 😛 😛 hapana mkuu siwezi kuuza kitu ambacho sio changu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama namuona jamaa jasho linavyomtoka. Usikute ameshapata mteja wa kumuuzia
Hapana mkuu siwezi .acha tamaa. mpe cm yake. bila ya malipo yoyote. MUNGU ayakulipia
Hapana mkuu na mimi nashida na hela.Aaaa bongee kuwa muungwana muosha huoshwa zaidi
Hapana mkut mi nataka kipozeo tuUshaelewa somo
Mkuu mimi juzi juzi tu nimetoka kutimuliwa kaza kisa vyeti feki na hapa nilipo sina hata senti hivyo siwezi kuiacha ridhiki ipite.Ushauri wa kitu uzima, usipoufanyia kazi basi upo kwenye orodha ya wenye vyeti feki
Hiyo simu uliyoiokota ni ya aina gani mkuu Dola Iddy?Habari zenu wana jamvi natumaini mnaendelea vyema na mihangaiko ya wiki,
Leo mnamo muda wa wa saa 12 jioni nikiwa home nikasema wacha nitoke kidogo niende bazizan nikashangae shange,
Nimefika pale nikaona hakuna la ziada nikaamua niondoke ile napanda kwenye pikipiki yangu kuna jamaa wawili tunafahamiana na wao walikuwa wana pikipiki aina ya boxer wakawa wanataka kuondoka wakaniambia oya bonge umedondosha simu yako ile kutupa jicho nikaiona nikaiokota nikaondoka mpaka nyumbani ile kuanza kukagua sms nikakuta sms ya M-PESA mwenye simu tarehe 9/05/ amefanya muamala wa kutoa 70000/= salio likiwa ni sh 291,000/=
Ile kufika muda wa saa 3 usiku jamaa akanipigia simu kwenye laini zake kuwa yupo Runzewe nikamwambia mimi nipo Ushirombo akasema atanipa 30000/= kama shukrani ya kumuokotea simu na kuonyesha uaminifu ,
Heti wakuu 30000/= itatosha kweli au nimwambie aongeze pesa walau 50000/= manake jamaa ana 291,000/= kwenye M-PESA.
Usimrudishie nenda katoe tuu hiyo hela maana wewe ni mtaalam wa kuingiza vocha bila ya kukwanguaHabari zenu wana jamvi natumaini mnaendelea vyema na mihangaiko ya wiki,
Leo mnamo muda wa wa saa 12 jioni nikiwa home nikasema wacha nitoke kidogo niende bazizan nikashangae shange,
Nimefika pale nikaona hakuna la ziada nikaamua niondoke ile napanda kwenye pikipiki yangu kuna jamaa wawili tunafahamiana na wao walikuwa wana pikipiki aina ya boxer wakawa wanataka kuondoka wakaniambia oya bonge umedondosha simu yako ile kutupa jicho nikaiona nikaiokota nikaondoka mpaka nyumbani ile kuanza kukagua sms nikakuta sms ya M-PESA mwenye simu tarehe 9/05/ amefanya muamala wa kutoa 70000/= salio likiwa ni sh 291,000/=
Ile kufika muda wa saa 3 usiku jamaa akanipigia simu kwenye laini zake kuwa yupo Runzewe nikamwambia mimi nipo Ushirombo akasema atanipa 30000/= kama shukrani ya kumuokotea simu na kuonyesha uaminifu ,
Heti wakuu 30000/= itatosha kweli au nimwambie aongeze pesa walau 50000/= manake jamaa ana 291,000/= kwenye M-PESA.
Na uboge wangu nimefanyaje?Na ubonge wako....
Ehee!!kilifatia nini kwa badae mkuu?Ulitakiwa kumwambia hata hiyo 30,000/= asikupe kwa maana unamfanyia ubinadamu tu.
Nishamuokotea simu demu mmoja mkali sana wa kitasha, akanipigia, nikamwambia natoka kazini tukutane mjini kati.
Tukakutana, akataka kunipa zawadi nikamkatalia, nikamwambia ni jambola ubinadamu tu.
Laiti kama wewe ndio ungekuwa umedondosha simu nakwambia ungenipa laki 1 kabisa kwa post yako inaonekana una hela mno.Tena ningekuwa mimi hata hiyo 30,000/ nisinge pokea bali ninge mpa tu simu yake na aende zake maana si kila kitu ni riziki kwa wakat huo vingine ni viashiria vya riziki endapo utatenda wema
Haujakosea mkuu mimi ndiye.atakuwa bashite
Ushauri mzuri mkuu safi sanaaa ngoja nivunje vunje lain.Ucmpe iyo ndo riziki yako,tupa lain tumia cm au uza no love
Mkuu ayaaah acha uzembe mkuu yaani laiti ingekuwa ni mimi ningekula tunda na hela angenipa.Ulitakiwa kumwambia hata hiyo 30,000/= asikupe kwa maana unamfanyia ubinadamu tu.
Nishamuokotea simu demu mmoja mkali sana wa kitasha, akanipigia, nikamwambia natoka kazini tukutane mjini kati.
Tukakutana, akataka kunipa zawadi nikamkatalia, nikamwambia ni jambola ubinadamu tu.