Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
- Thread starter
-
- #21
Mkuu sina lengo la kuiba chochote ila nilikuwa najaribu kuwauliza je elfu 30 inatosha?Kumbuka Tamaa mbaya, uungwana ni vitendo ...... Rudisha simu ya watu maana mnara umeshasoma upo eneo gani chochote utakachofanya cha kiharifu kitakugharimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuuu naomba unileteee tu hiyo simu na 30 elf yako nitakupa na sitaongeza zaid ya hiyo maana imebidi nije ushirombo usiku huu ili kesho tuonane..nipo hapa musa lodge nasubiri pakuche tu
Hapana mkuu hapo unakosea kabisa.Usichukue hata senti tano mkuu. Mrudishie tu. Utalipwa kwa namna nyingine
Ushauri wa kitu uzima, usipoufanyia kazi basi upo kwenye orodha ya wenye vyeti fekiacha tamaa. mpe cm yake. bila ya malipo yoyote. MUNGU atakulipia
Mkuu ningempa hata 40 elfu kwa kweli.hebu fikiria ww ndo ungekuwa huyo aliyedondosha hiyo simu....
Tena ningekuwa mimi hata hiyo 30,000/ nisinge pokea bali ninge mpa tu simu yake na aende zake maana si kila kitu ni riziki kwa wakat huo vingine ni viashiria vya riziki endapo utatenda wemaKwa hiyo nichukue tu elfu 30?
Mkuu aisee kwanza hapa nipo juu ya mawe yaani tangu nitimuliwe job kwa kuwa na vyeti feki hela imekuwa ngumu kweli ila nashukuru fursa imejilet.aHahahaahh
Mkuu umenifurahisha hiko kipande cha chini hapo
atakuwa bashiteUshauri wa kitu uzima, usipoufanyia kazi basi upo kwenye orodha ya wenye vyeti feki
Hapana mkuu siijui ila kuna jamaa yangu anafanya kazi voda nitamtonya anipe pasword halafu nitampa 140 k na mimi nitabaki na 140sasa hata kama kuna 291,000 Nywila ya kutolea hiyo hela unaijua?
Mkuu hahaha unaleta masihara kweli.Mkuu nimehairisha hyo line vunja tu hiyo simu uza unitumie héla kwenye namba 097400853774
Mkuu nipigie simu kwenye namba yangu ya voda niliyokutumia nije na simu sasa hivi 07*2 4*7 *99 nipigie ukishindwa najua sio wewe mwenye simu.Mkuuu naomba unileteee tu hiyo simu na 30 elf yako nitakupa na sitaongeza zaid ya hiyo maana imebidi nije ushirombo usiku huu ili kesho tuonane..nipo hapa musa lodge nasubiri pakuche tu