Nimeokota kitambulisho cha NIDA

🔨

Chukua pesa 🔨
Choma moto ushahidi 🔨
Pesa ulizookota kale kitimoto 🔨
Lala usingizi mzuri maisha yaendelee.
 
Lep asbh ktk mitaa ya jeshini kuelekea Ihumwa nimekiokota kitambulisho Cha mtu anaitwa
Martin Orden Mwitula
View attachment 2928049
Kiongozi. Mwenye kitambulisho cha NIDA ulichokiokota Ihumwa ni Mimi, nimefungua loss report tayari ya kupotelewa na kitambulisho. Naomba kujua nakipata wapi? Kama ulikipeleka NIDA nijue, kama ni polisi nijua nakipataje. Namba yangu nilikutumia hatujawasiliana. Mimi Dodoma nakuja na kutoka tu kwa sasa japo naishi Mtumba
 
Huruma huzaa dhambi
 
Wadogo zake wangeandikaa yaan

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mbna [emoji23][emoji23][emoji23] unanitisha mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Lep asbh ktk mitaa ya jeshini kuelekea Ihumwa nimekiokota kitambulisho Cha mtu anaitwa
Martin Orden Mwitula
View attachment 2928049
Lep asbh ktk mitaa ya jeshini kuelekea Ihumwa nimekiokota kitambulisho Cha mtu anaitwa
Martin Orden Mwitula
View attachment 2928049
Naomba unijulishe hatua ulizochukua coz nilitoa taarifa polisi ya kupotelewa na kitambulisho. Niliomba uniambie nakipata vipi hujanijuza. Naona wengine wameshauri ukitupe, tupeleke ofisi za kata, mtaa. Ninapenda kujua hatua uliyochukua ili nifanye maamuzi kama ni kwenda NIDA kuomba kingine au laa. Samahani kwa usumbufu kiongozi.
 
Mbona hili lina nitisha kufanya wema usije ukanigharimu, wiki iliyopita nilihudhuria msiba na niliokota pochi maeneo hayo, haikuwa na fedha ndani ila ina vitu vifuatavyo.
-NIDA ID
-MPIGA KURA ID
-NHIF ID
-NMB CARD
-EQUITY VISA CARD
-N CARD
-PASPORT SIZE PICHA ZA MHUSIKA NA NYINGINE ZA WANAWAKE WAWILI TOFAUTI.

Hofu yangu ni hiyo unamsaidia mtu kwa wema alafu yeye anakugeuza fursa na yamkini kweli alifanyiwa tukio.
 
Aiseee
 
Mitaala ya CCP Huwa haiboreshwi !???
 
Kuna umuhimu mkubwa vitambulisho viwe na contact ya muhusika
Vitambulisho vyetu ni tatizo havioneshi taarifa zote tofauti na wenzetu Kuna huduma nilikuwa nataka kutoka nchi Fulani umenipa shida sana kila kitambulisho ukituma wanakataa kukuamini
 
Izi mambo za Kuokota IDs na Kuzipeleka sehemu husika then Muokotaji kuja kupata Disturbance ni issue za Culture change zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…