Nimeokota kitambulisho cha NIDA

Polisi wa Tanzania ni wajinga sana sana. Mwizi hawezi kumvamia mtu halafu achukuwe wallet yake apeleke polisi eti ameokota.
 
Sehemu salama za kupeleka vitambulisho vilivyopotea ni Polisi, serikali za mitaa au ofisi ya moja ya vitambulisho hivyo for instance CRDB
 
Bahati yako wangemuua ungekuwa jela hadi kesho.
Tatizo ni polisi wetu hawana uwezo wa kuchunguza matukio wanaishia kutia hatiani wasio husika.
 
Kuna umuhimu mkubwa vitambulisho viwe na contact ya muhusika
Kuna kundi la watanzania ni wapumbavu, akipoteza namba ya simu hahangaiki kurenew, anasajili laini nyingine tu. Halafu kuna huu upumbav wa mitandao ya simu kugawa namba za simu.

Hivyo utajikuta unaokota NIDA ya mtu lakini namba ya simu sio ya mhusika.
 
Kuna jamaa aliwahi okota simu ya mtu ikamponza, akataka irudisha kwa nia nzuri lakini ikamponza. Kitambulisho nachoweza kuokota na nikatoa taarifa ni cha ndugu yangu. Vingine napotezea hapo hapo, sitaki usumbufu na vyombo vya dola.
kweli kabisa
 
Peleka polisi...

Kuna jamaa ashawabi kuweka uzi hapa namna unapaswa kufanya ukiokota vitambulisho au vyeti vya mtu ...
.... ni vyeti vya mtu ama mali zake au hata fedha sio vitambulisho tu
 
Kwani huwa hawaandiki nyuma ya vitambulisho incase mtu kaokota apeleke wapi? (If found please return to)?
 
Ndio hvyo sitaki upumbafu kbsa
 
Uko kujifanya kwako mwema kutakuja kukuponza Mark my words ungekipita tu kama hujakiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…