Nimeokota cheti anayemfahamu muhusika anitafute

Nimeokota cheti anayemfahamu muhusika anitafute

obwato

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
1,188
Reaction score
365
Wanajamvi leo nimeokota cheti kwenye gari linalotoka Mwenge kwenda T/mikoroshini. Muhusika anaitwa EMELDA J. MALLYA ni cha kozi ya Computer Aqlication cha OUT. Anayemfahamu muhusika ampe taarifa na ani PM.
 
poa mwenye chake atajitokeza tu ila umekosea kutaja jina, lakini akija akupe hata kitambulisho cha kula uone majina kama yanafanana
 
Sawa mkuu obwato, id yako imenikumbusha vitu km mwitizo, kishusi, obugwi etc
 
Hivyo vitambulisho vinatolewa wapi mkuu, maana muda huu nina njaa sana nahitaji hiyo bidhaa niitumie kupata lunch..

#JustKidding

TYPING ERROR NI KURA, hata hivyo naona mida ya kula ina karibia kwa hiyo vuta subira utakula tu ndugu yangu watu8
 
Inabidi uwe na jukwaaa la vilivyopotea na kupatikana
 
Jaribu kumtafuta Facebook. Kama kasoma computer anaweza kuwa huko.
 
Jaribu kumtafuta Facebook. Kama kasoma computer anaweza kuwa huko.

Nilishajiondoa huko kitambo sana toka niingie jf. Ntamsikilizia kidogo au ntavidump kituo cha polisi wamtunzie.
 
Nilishajiondoa huko kitambo
sana toka niingie jf. Ntamsikilizia kidogo au ntavidump kituo cha polisi
wamtunzie.

angekuwa ni mwanaume,ungemsababishia apewe kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha kwa kuvipeleka hvo polisi..(UTANI TU)
 
[Obwato: Wanajamvi leo nimeokota cheti kwenye gari linalotoka Mwenge kwenda T/mikoroshini. Muhusika anaitwa EMELDA J. MALLYA ni cha kozi ya Computer Aqlication cha OUT. Anayemfahamu muhusika ampe taarifa na anipigiie kwa namba 0717491574.[/QUOTE]

Mr Obwato peleka pale chuoni kwao watajaribu kumpata ila shaka au wana wasiliano yake.
 
huko facebook si ajabu hatumii jina lake hilo la kwenye cheti
 
Wanajamvi leo nimeokota cheti kwenye gari linalotoka Mwenge kwenda T/mikoroshini. Muhusika anaitwa EMELDA J. MALLYA ni cha kozi ya Computer Aqlication cha OUT. Anayemfahamu muhusika ampe taarifa na anipigiie kwa namba 0717491574.

Kumbe ni hicho!!!! akienda watamprintia kingine
 
Nilishajiondoa huko kitambo sana toka niingie jf. Ntamsikilizia kidogo au ntavidump kituo cha polisi wamtunzie.
Usijaribu hata kidogo kukipeleka hicho cheti kituo cha polisi, kwani jeshi la polisi la Tanzania kwa sasa ni kitovu cha uhalifu, kama ukifanya hivyo tegemea moja kati ya mambo haya;

1/Unaweza kubambikiziwa kesi wewe au muhusika wa hicho cheti.

2/Siku muhusika akifika polisi kukichukua adaiwa Rushwa kubwa sana.

3/Kuna mtu atauziwa na kukitumia kama chake.

4/Kitachomwa moto faster.

5/Kitapotea katika mazingira ya kutatanisha.
 
poa mwenye chake atajitokeza tu ila umekosea kutaja jina, lakini akija akupe hata kitambulisho cha kula uone majina kama yanafanana
Usihofu mdau nna maswali mengi ya kujiridhisha kabla ya kumkabidhi mwenye nacho. Na nimeweka jina ili wanaomfahamu iwe rahisi kumtafuta na kumtaarrifu.
 
Wanajamvi leo nimeokota cheti kwenye gari linalotoka Mwenge kwenda T/mikoroshini. Muhusika anaitwa EMELDA J. MALLYA ni cha kozi ya Computer Aqlication cha OUT. Anayemfahamu muhusika ampe taarifa na ani PM.

Safi sana Obwato, muungwana ni vitendo na si vinginevyo!!!
 
Nashukuru wadau kwa ushauri wenu mzuri, nadhani kukitumbukiza kwenye sanduku la posta ni rahisi zaidi ntafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom