Nimeoa single mama

Kama jamaa anajua kusoma na kuelewa, basi aelewe hiki ulichoandika. Jamaa yupo, uwezekano wa kuchapa ni 100% coz anajua mzazi mwenzake keshaolewa, atakitokeza ili tu amuonyeshe kuwa yeye ni kidume na ndio wa kwanza, ili tu aharibu mawasiliano ya mzazi mwenzake na jamaa. Bitter truth!!
 
Baba wa mtoto anawacheki tu anajisemea hihihiii bagosha!!
 
siku akirudi baba mmoja toka safari ya mbali ndio utajua ulikuwa hujui. Ila nakutakia kila la kheri, msimu wa embe kula embe.
 

Kwahio ndoige unaona fresh mtoto wa 2yrs akae bila mama au sio
 
Kabisa,
Kuna Jamaa baada ya kuskia mzaz mwenzie kaolewa na kajengewa nyumba.

Akarudisha mazoea kwa kasi mpk anaenda kwa jamaa, anakaa kabisa seblen.

Kisingizio Ni eti kaja kumuangalia mtoto, alieoa ikabd asitishe kutoa matumiz maana Ile Ni dharau anafanyiwa ndani ya nyumba yake.

Mahusiano yakavurugika,
Kisha jamaa akaingia Tena mitini.

Sahv binti anahaha ananisumbua nimbembelezee ili kurudisha mahusiano na jamaa.
 
Wanyama kama Simba, huua watoto wa dume jingine na kuanzisha ufalme wao
 
Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Dina Dina haya ni matokeo ya vikao vidogo vya awali ..Kikao kikubwa kikija hiyo ndoa tunaivunjilia mbali mbaki na watoto wenu😛
 
Bidada angekua mkali, huyo bwana wa zamani kumuona mtoto akamuone kwa kina bibi ila home kwa jamaa/mume marufuku kukanyaga.Wengi hawarudi kwa wema wanakuaga na yao.
 

Hiyo ni dharau na haitakiwii kabisa
 
Duuh huyo single mom sijui ana akili Gani,,Yani nikatae kukaa na mwanangu kisa ndoa hapana kwakweli. Mtoto ana tahamani yake mume pia ana thamani yake
Mwanamke ukiolewa kama unawatoto inabidi uwapeleke kwa bibi yao ili wewe ukaanze maisha mapya na mume mpya, kwasababu mume wako mpya hataweza kulea watoto wa mwanaume mwingine na huyo mwanaume yupo hai.
 
Kijana mbona bado unanafasi ya kuoa mabinti wabichi kabisa kwanini unamuoa huyo single mother tena ana mtoto wa miaka miwili. Vijana wengi wa mijini wabachangamoto sana ya kupata wake ambao hawajazalishwa.
 
Chukua mtoto wewe mama apate utulivu
 
Like seriaz umependa K yake tu, mtoto tupa Kule. Ni suala la muda tu lazima usaidiwe k baba mtoto akianza toa matumiz
 
Ukiona mwanamke ana mtoto mdogo, baba wa mtoto yupo halafu anakimbilia kuolewa huyo ana matatizo. Ama anamkomoa mzazi mwenzake au anatafuta pakujishikiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…