Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,515
- 112,126
Kuna dalili za kila rangi kwa mleta mada kupatwa na maradhi ya moyo na msongo wa mawazoNaomba ushauri jinsi ya kumlinda makapera maana wabongo hawakawii kujifanya wanampenda kuliko Mimi niliyemuoa