macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,223
- 60,287
Hakuna kitu kibaya kama kutoa ushauri wa mahusiano ya wapenzi wawili/wanandoa waliokorofishana kwa kusikiliza upande mmoja. Ni lazima usikilize pande zote ili u-balance story. Narudia tena: Epuka kutoa ushauri au uamuzi wowote kwa kusikiliza maneno ya upande mmoja. Utakuwa unazidi kuharibu kwani hutajua chanzo cha tatizo hasa ni nini. lady in action huna ndugu, marafiki na jamaa? Kwa nini hupeleki haya malalamiko yako mkakalishwa na kusikilizwa?huyu dada nimefatilia nyuzi zake nimeona ana bahati mbaya kweny mahusiano yake yote,ameteseka miaka mingi kweny hayo mahusiano yake,,ko mnaomkejeli acheni mala moja wala msimshauri arudi kwa mmewe,,mwacheni apumnzike atulize akili.
mi namshauri atafute tu mwanaume wa kumtoa nyege asirudi kwa mmewe.
Si ulimwambia hajui kukuna?Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma natamani kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O nina mtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Watu kama wewe hamfai kabisa, akishatolewa hizo nyege what next?.huyu dada nimefatilia nyuzi zake nimeona ana bahati mbaya kweny mahusiano yake yote,ameteseka miaka mingi kweny hayo mahusiano yake,,ko mnaomkejeli acheni mala moja wala msimshauri arudi kwa mmewe,,mwacheni apumnzike atulize akili.
mi namshauri atafute tu mwanaume wa kumtoa nyege asirudi kwa mmewe.
Wazee wa loose ball😂Kwahiyo jimbo liko wazi.
Usikate tamaa.Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma natamani kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O nina mtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Usiegamie sana,utaanguka jaman🤸Amina kpnz, Kwa maneno matamu kama haya utaufanya moyo wangu uache kusukuma damu wallah na uanze kusuma mambo mengine 🥰🥰🥰......🤣🤣🤣
Inapendeza...Nimempa mwongozo safi wa namna nilivyong'atuka nadhani kanielewa
Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma natamani kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O nina mtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Hajanifukuza lkn je ndio nitaubadilisha moyo wake? Je hata nikirudi nitadumu kwa muda gani sababu anachofanya hata yeye haelewi ni vile hanipendi ndio anajikuta
Surely mkuuSahii kabisa,
Dada yetu huyu anahitaj kushauriwa.
Ila Sasa mpk kwa hiari yake mwnyw afungue moyo akubali kushauriwa
Chanzo
nadhan ukifuata nyuz zake kwa makin utakiona mkuu, naamini humu jf wee mi mchunguz mzur Sana wa saikolojia ya mtu ktk maandish yake.
Dada yetu ana matatizo makubwa sana jins anavyoendesha mahusiano yake,
(Nishawahi kua na wanawake kaliba ya mtoa mada)
Hali hiyo inapelekea kuchokwa mapema sana, kukinaiwa na kuua hisia za mapenz kutoka upande wa pili.
Nakazia,
Dada yetu anahitaj USHAUR
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu halali anaona mahangaiko yako jipe moyo na ujipambanie tafuta watu wako wa karibu zungumza nao unapohisi upweke..Time heals everything na Mungu atakuinuaBaada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma natamani kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O nina mtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Time heals bro atakua sawa anahangaika na mambo mawili kwa wakati mmoja hivo inampa taabu ila atakaa sawaWanasayansi bado hawajapa dawa ya kutibu maumivu ya mahusiano, atakae igundua atapiga sana pesa.
Sali Dada Yangu alafu Simama wewe ni Mwanamke imara usikubali kujiona dhaifu kwa dhihaka za watu ama kwa namna yoyote,Maisha yanabadilika na unaweza kuwa chochote,PambanaSiwezi nina watoto 2
1) Miaka 7 baba yake alishafariki
2) Ana mwaka 1 wote wananitegemea siwezi fanya chochote kibaya Mungu anisaidie
Pole Sana madam nimepitia Baadhi ya nyuzi zako nimepja hili swala limekuhumiza Sana,Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma natamani kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O nina mtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Yani huyu Dada mkuu inaonesha anampenda Sana huyo jamaa Tena Sana.Wanawake JF mshikeni mkono mwenzenu huyu anahitaji faraja, uangalizi wa karibu, kuoneshwa upendo wa hali ya juu, kujaliwa.
Nimepitia nyuzi zake hayuko sawa.. Hawa ndio watu hawachelewi kuchukua uamuzi mgumu(Mungu amuepushie mbali ujinga huo)
Hongera madam kwa Hilo,Siwezi nina watoto 2 it
1) Miaka 7 baba yake alishafariki
2) Ana mwaka 1 wote wananitegemea siwezi fanya chochote kibaya Mungu anisaidie