Msiba wa Taifa
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 128
- 53
Mbona nilienda wakaniambia sina sifa na nimesoma shule za government zote.Unasubiri nini ndugu? Anzisha kunji wewe mwenyewe. Nenda kalichimbishe pale pale Bodi ya Mikopo. Wapo waliofanya hivyo na wakapewa mkopo. Pesa ya mikopo ipo ila ni kidogo, issue ni nani apewe.
Si heri na wewe wenzio tumenyimwa mkopo St Joseph MDJamani hivi ni kweli mwaka huu mpaka kozi za afya hatupati mikopo au?
Mbona mpaka sasa kimyaa.!!
Chuo kimefunguliwa sijaripoti chuoni?
Wenzangu washaanza kusoma!!
Je serikal mnatuangalia vp?
Jaman tuanzish maandamo ya Amani mpaka Loan Board !!
SIAMINI KINACHOENDELEA.
Vipi lakini mnaambiwaje chuoni kwenu kuna uwezekano wa kupata au laah.Daah kcmc ndio tupo wengi sasa
Sioni kitu ila tumeandikishwa majina tuliokosa, wanadai watayapeleka loan boardVipi lakini mnaambiwaje chuoni kwenu kuna uwezekano wa kupata au laah.
maajabu haswaahaya ni maajabu mapya ya dunia yani MD muhas afu unamnyima mkopo!!!!!
Mimi nimesoma government zote ila sijapewaKama umesoma shule zote za government inabidi wakupe mkopo..
Umemuweka Kikwete hapo Inaonekana unaipenda CCM.... Na uliipigia kura..Mbona nilienda wakaniambia sina sifa na nimesoma shule za government zote.
Nmesoma shule za kata brooahahaaa wengi si mmesoma kwenye ma ST fulani uko na PRIVATE ambayo ada ni kuanzia 1.5 sasa balaaa ndo hilo hutaki kalale ukue mana mkopo hakuna
du pole sana dgo md mkopo ni mia we unaenda shule n beg na madaftali kila kitu kina lipwa na heslb "KWA MAGUFULI KILA GOTI LITAPIGWA"Nmesoma shule za kata broo
Jamani hivi ni kweli mwaka huu mpaka kozi za afya hatupati mikopo au?
Mbona mpaka sasa kimyaa.!!
Chuo kimefunguliwa sijaripoti chuoni?
Wenzangu washaanza kusoma!!
Je serikal mnatuangalia vp?
Jaman tuanzish maandamo ya Amani mpaka Loan Board !!
SIAMINI KINACHOENDELEA.