Nimenyanyaswa na polisi kituo kidogo cha Mwenge (DSM)

Nimenyanyaswa na polisi kituo kidogo cha Mwenge (DSM)

kama askari huyo utambua nenda kafungue mashtaka yako kwa RPC Kinondoni nina imani utapata haki yako....
 
Kwa jinsi nilivyokua na hasira za ajabu, wala kesi isingeisha maana najijua mwenyewe hata nikifa haki itendeke mbeleni.
Yaani hapo ningesubiri mida ya jioni(kituo si kinafungwa) ningekiwasha kwa petrol kwa kweli(hayo ni mawazo yangu binafsi usiniibie) halafu kesho yake najitangaza hadharani kabisaaaa kwamba muhusika ni mimi, yaani roho yangu na gaidi hakuna tofauti hasa ukininyima haki yangu halafu ukajifanya kutumia nguvu. Kwa mfano yule jamaa wa SYRIA Aliejimwagia mafuta hadharani na kujichoma mimi niliona ndie mtu wa mfanowe.
 
kama askari huyo utambua nenda kafungue mashtaka yako kwa RPC Kinondoni nina imani utapata haki yako....

Mkuu mie nkiona askari wote najua ni corrupt tu ni sawa na kesi ya ngedere kumpelekea nyani. BTW dawa yao kama alivyosema swissme ni kuwasubiri kitaa tu unamtia bisibisi mpango unakua droo mnaenda kwenye penati
CC : @pdiddy
 
Last edited by a moderator:
kama hela ilikuwa mayo si ungelipa tu fine?

Kwa wakati huo sikuwanayo, hasira zao kuwakatalia kubaki na funguo na uhitaji wa kutambuana maana alivaa kiraia na mwonekano wake kama lilevi fulani hivi
 
Chozy

We umeng'ang'ania filosofi ya kijinga ya kila jambo kulifanya ni siasa tu kwa kushinda kwenye mikutano ya Lema. Kwani ungelipa hiyo faini mapema nini kingetokea kuliko kutunishiana misuli halafu unakuja kulialia humu jf! acha ujuha.

Watu kama nyie hamtakiwi muwepo huku JF. Shame on you!
 
Last edited by a moderator:
tukiangalia sheria wewe ulikuwa na kosa kwa kutavaa hiyo kofia helmet lakini kitendo cha kukupiga na kukudhulumu pesa zako hicho ni kitendo cha kikatili sana kama una ushahidi wa kutosha kafungue kesi mahakama .

Kalikuwa kabishi tu haka kajamaa.
 
Ndio apigwe? Wewe kila jambo linalohusu watendaji wa serikali kukosea unakuwa mtetezi kwa nini? Watu wanaleta mambo hapa JF kwa lengo la kurekebishana ili mambo katika nchi yetu yaende sawa. Kujitoa ufahamu sio jambo zuri, yanasemwa haya leo CCM ikiwa madarakani na kesho kama haipo madarakani bado Polisi watakuwepo na vitendo viovu vitakuwepo na watu bado watasema. Hiyo ndio njia sahihi ya kukosoa serikali yetu SOTE.

Mbona umekuwa mkali! Hayo ni mawazo yake, this is JF where we dare to talk openly.
 
Hawa watu ipo siku watasema tu kinachowafanya wajifanye miungu watu ndani ya nchi yetu wote.

Kuna mmoja aling'ang'ania leseni yangu nikakataa. Pumbafuu kabisa
 
Acha ujinga wewe kubwa jinga au na wewe ni dizaini ya hao askari,kakwambia alikiri kosa na alikuwa tayari kulipa hiyo faini sasa kwa nini apigwe na kudhalilishwa na kuibiwa? jitahidi kuufanya ubongo wako uwe active kidogo acha uzembe....#akilimgando #kubwajinga #ubongomaji

Sijawahi kuona jitu jinga, akili za kongoni, kama linalovuta marijuana kama wewe.
 
Last edited by a moderator:
Umewasoma namba ya uaskari tumtumie IGP?? Namba yako ya RB kabra ya kutupwa ndani. Taja tarehe na saa ya tukio/ mtiririko wa wa matukio @ saa tangu kuingia na kutoka tukusaidie kufuatiria, nani ririkuwa zamu wakati huo.
 
Back
Top Bottom