Nimenyanyaswa na polisi kituo kidogo cha Mwenge (DSM)

Nimenyanyaswa na polisi kituo kidogo cha Mwenge (DSM)

Dah! Pole sana Mkuu. Hao polisi ni watesaji wakubwa sana wa Watanzania mbali mbali wasio na hatia au wenye hatia ndogo sana.
 
pole sana ndugu yangu...ndio maana kunazidi kuwa na chuki sana kati ya mapolisi na sie raia maana hawa wenzetu sijui wanadhani hapa duniani wamefika? nimesikitika sana pole sana ndg yangu..
 
Chozy

We umeng'ang'ania filosofi ya kijinga ya kila jambo kulifanya ni siasa tu kwa kushinda kwenye mikutano ya Lema. Kwani ungelipa hiyo faini mapema nini kingetokea kuliko kutunishiana misuli halafu unakuja kulialia humu jf! acha ujuha.
 
Last edited by a moderator:
Dah! Pole sana Mkuu. Hao polisi ni watesaji wakubwa sana wa Watanzania mbali mbali wasio na hatia au wenye hatia ndogo sana.

Huyo alikuwa na hatia. Hakuwa na helmet.
 
Mkuu kwan unadhani ile roho ya kujivalisha mabomu nakujilipua na watesi wako inaanza vp?
Manyanyaso mengine hayafai na kuanzia chini mpaka juu sysytem yote ime-corrupt yaan imefika wakati wa ''Ama zangu...Ama zako'' nikikuwai nakutoa ukiniwahi poa....
 
tukiangalia sheria wewe ulikuwa na kosa kwa kutavaa hiyo kofia helmet lakini kitendo cha kukupiga na kukudhulumu pesa zako hicho ni kitendo cha kikatili sana kama una ushahidi wa kutosha kafungue kesi mahakama .
 
Huyo alikuwa na hatia. Hakuwa na helmet.

Ndio apigwe? Wewe kila jambo linalohusu watendaji wa serikali kukosea unakuwa mtetezi kwa nini? Watu wanaleta mambo hapa JF kwa lengo la kurekebishana ili mambo katika nchi yetu yaende sawa. Kujitoa ufahamu sio jambo zuri, yanasemwa haya leo CCM ikiwa madarakani na kesho kama haipo madarakani bado Polisi watakuwepo na vitendo viovu vitakuwepo na watu bado watasema. Hiyo ndio njia sahihi ya kukosoa serikali yetu SOTE.
 
Pole sana ...tatizo la hawa jamaa wanajisahau kwamba siku moja atatundika sare na kurudi uraiani!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
pole sana kwa yaliyokukuta, wanakua na hasira na raia wema huku majambazi yakifanya yao mitaani
 
Ahsante sana wadau mulonipa pole, pole yetu inathamani kubwa sana kwangu. Mungu awabariki sana
 
Chozy

We umeng'ang'ania filosofi ya kijinga ya kila jambo kulifanya ni siasa tu kwa kushinda kwenye mikutano ya Lema. Kwani ungelipa hiyo faini mapema nini kingetokea kuliko kutunishiana misuli halafu unakuja kulialia humu jf! acha ujuha.

Duh,,,,we cjui km kichwan zimo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom