Nimenunua umeme wa elfu 5 nikapata unit 1

Mkuu angalia kwenye risiti, wameandika VAT 4505/-. Kuna hiyo kitu wanakata kila mwezi. mimi kila mwanzo wa mwezi nikitaka kununua umeme wa 5000/- inabidi ninunue wa 10000/- kwanza halafu ndo naendelea kununua wa elf tano tano.
Ok matumiziyako mkuu kama n within 75 units kwa mwezi usinunue tens hivi..nunua wa 9000,kwanza kawataarifu matumiziyangu n within 75 units..watakurudisha tarrif 1..akikisha hataukiisha 30...usiongeze MPAKA ifike tar moja mwezi unaofwata ongezea..ukiongeza zaidi ya 9000 unaingizwa tarrif two...huko utachoka mwenyewe UMEME wa 20"000 units 56,kumbuka tarf one ulikuwa unapewa units 75 kwa Alf Tisa nenda ofisiya tanesco kwa maelezo zaidi...wengi wanalipa pesanyingi tanesco shida awajui hizi tarrif NA kikomo chake NA idadi ya units kwakila tariff
 
upload_2016-9-6_9-50-40.png
 
Back
Top Bottom