Nimenunua umeme wa elfu 5 nikapata unit 1

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,474
Habari za muda huu ndugu zanguni,

Hivi kweli hela Tanzania haina thamani, ila kwa mtindo huu nashindwa kuamini.
 
Au luku yapo ni mpya? if yes, ina maana ulikopeshwa unit 50 ambazo umekatwa kama elfu 18 hivi japo hujasema ulinunua umeme wa shilingi ngapi
Kama alikopeshwa unit 50 bira shaka ingembid anunue umeme wa sichin ya 30.. Ili aweze pata uduma
 
Au luku yapo ni mpya? if yes, ina maana ulikopeshwa unit 50 ambazo umekatwa kama elfu 18 hivi japo hujasema ulinunua umeme wa shilingi ngapi
Nimesema mkuu kwenye kichwa cha Habari, luku sio mpya na kila mwezi nanunua umeme.
 
Habari za mda huu ndugu zanguni.
Hivi jamani kweli hela tz haina thamani, ila kwa mtindo huu nashindwa kuamini.
Kuondoa hizo labda luku mpya, sijui umekopeshwa unit hamsini... WEKA HICHO KIKARATASI CHA LUKU TUKUPE MAELEZO YANAYOELEWEKA
 
Kimaratasi kivipi mkuu au unamaanisha namba za luku?
 
Nimenunua kwa njia ya sim nimeandikiwa namba za vocha tu kwenye karatasi.
 
Habari za muda huu ndugu zanguni,

Hivi kweli hela Tanzania haina thamani, ila kwa mtindo huu nashindwa kuamini.
Mkuu angalia kwenye risiti, wameandika VAT 4505/-. Kuna hiyo kitu wanakata kila mwezi. mimi kila mwanzo wa mwezi nikitaka kununua umeme wa 5000/- inabidi ninunue wa 10000/- kwanza halafu ndo naendelea kununua wa elf tano tano.
 
Nashukuru mkuu kwa kunifafanulia
 
Inakuwaje ulipe 5000/= ukatwe VAT 4505/= ?
Mkuu, ile risiti ya umeme wa luku ndo inavyoandkwa. Nilinunua kwa simu na msg sijaifuta. Labda ndo service charge sijui ila imeandikwa VAT.
 
Mkuu angalia kwenye risiti, wameandika VAT 4505/-. Kuna hiyo kitu wanakata kila mwezi. mimi kila mwanzo wa mwezi nikitaka kununua umeme wa 5000/- inabidi ninunue wa 10000/- kwanza halafu ndo naendelea kununua wa elf tano tano.
Mkuu si waliacha hizo tozo za kila mwezi?
Mimi umeme wa 5000 uwa napewa unit 45 na sikatwi hayo makato toka walipositisha.
 
Back
Top Bottom