Nimenunua umeme wa elfu 5 nikapata unit 1

tangia mwezi huu uanze sijanunua umeme, na kawaida mwanzo wa mwezi nikinunua umeme wa 10'000/- napata unit 73, ila leo nimenunua umeme wa 10'000/- wamenipa unit 28 tu na mita niya zamani tangia 2013, wadau niaje hali ilivyo popote mlipo?
 
Watu wanasema uongo tu, ukinunua umeme kwa sasa bei ni hiyo hiyo hawakati service charge, na aliyesema sh 5000 unapata unit 45 sio kweli unapata unit 14.5 tu
 
Nenda kawaone Tanesco watakusaidia, hilo muda mwingine huwa ni tatizo
 
Angalia vizuri transaction yako huenda umenunua wa 500 badala ya 5000
 
Mimi sijabisha nimeshauri..

Labda unipe uelewa kuhusu mambo ya tarrif
Mkuu ukiwa watumia below unit 70 nadhan kwa mwezi unabadilishiwa tarrif ukibadilishiwa unapata unit nyingi zaid
 
io tarrif anabadilisha nani
Sometimes inatokea uknunua umeme unagoma so ukienda tanesco wanakupa minamba flan uingize kwenye luku ndo unakuwa umebadili au unaweza enda ofisini kwao watacheki matumizi yako kama yako chini utapewa hizo namba
 
Mkuu ukiwa watumia below unit 70 nadhan kwa mwezi unabadilishiwa tarrif ukibadilishiwa unapata unit nyingi zaid
Hii ni kweli. Ukiwa kwenye kundi la watumiaji wadogo 10,000 unapata unit 70+
 
Sometimes inatokea uknunua umeme unagoma so ukienda tanesco wanakupa minamba flan uingize kwenye luku ndo unakuwa umebadili au unaweza enda ofisini kwao watacheki matumizi yako kama yako chini utapewa hizo namba
Basi nilimshauri sawa, aende Tanesco
 
Sometimes inatokea uknunua umeme unagoma so ukienda tanesco wanakupa minamba flan uingize kwenye luku ndo unakuwa umebadili au unaweza enda ofisini kwao watacheki matumizi yako kama yako chini utapewa hizo namba
Very true
 
Back
Top Bottom