Waugwana niliomba msaada hapa wakati nilipohitaji kununua Huawei ya Tigo na nashukuru kwa maoni yenu.
Nimenunua Techno N3 kwa sababu mbili kubwa,uwezo wa kubeba laini mbili na comments zilizotolewa hapa in the past katika kuisifu mashine hii.
Nkabiliwa na shida kubwa ya kuhamisha contacts kutoka SIm card na kuingiza katika simu yangu mpya otherwise kwa sasa sina shida ya kuwasha laptop alfajiri kwani nacheck mail na news hapo kwa hapo.