Nimenunua Techno N3

Nimenunua Techno N3

Tecno P3 is the real deal.. Dual core CPU,Front facing camera and flash in the back. Its basically an improved N3 na zote ni bei moja.
 
nitaipata wapi kaka hiyo?
 
Ni kasimu kadogo na bei ndogo lakini kana Kila Kitu utakachohitaji katika smartphone,haya ma Nokia nimeweka pembenii kwa sasa.

Hawa jamaa tuwape tu muda lakini watakuja kuwa wakali mbaya,kwanza simu zao bei zipo kisisi sisi(Bei Poa) halafu unapata kila kitu ambacho kipo kwenye smart phones nyingi bado kanameza line mbili.. nadhani hawa ndo wakombozi wa kina sisi,Mi ninakonka ND 3 hadi naanza kuisahau Galaxy yangu.
 
Waugwana niliomba msaada hapa wakati nilipohitaji kununua Huawei ya Tigo na nashukuru kwa maoni yenu.
Nimenunua Techno N3 kwa sababu mbili kubwa,uwezo wa kubeba laini mbili na comments zilizotolewa hapa in the past katika kuisifu mashine hii.
Nkabiliwa na shida kubwa ya kuhamisha

contacts kutoka SIm card na kuingiza katika simu yangu mpya otherwise kwa sasa sina shida ya kuwasha laptop alfajiri kwani nacheck mail na news hapo kwa hapo.

umepata cm kaka mi mwenyewe
 
Ni kasimu kadogo na bei ndogo lakini kana Kila Kitu utakachohitaji katika smartphone,haya ma Nokia nimeweka pembenii kwa sasa.
sema umeshindwa bei ya nokia na huwezi fananisha nokia na hiyo michina ya tecno isiyo na viwango, wanajitahidi kuiga kila kitu lakini kwenye durability wamechemka we jiulize nokia yenye sifa kama izo za tecno bei yake ni karibu mara tatu ya tecno hustuki?? mchina ni mchina tu hata cm ingekuwa inakufuata yenyewe kila unapo enda ili usiisahau atabaki kuwa mchina feki tuu,kidogo huawei ingawa nae ni mchina anaafadhari kidogo sio tecno
 
aah aah fake ni fake tu
 
una uzoefu au unajisemea tu??
au kwa akili yako kila china product ni feki??
angalia china prouducts zinazouzwa UK na US. wao wa ulaya wenyewe wanazikubali na kuziamini.
sio hizi products za china zisizona viwangu tunazoletewa na wafanyabiashara wetu wajanja,
kama hujui jaribu kuuliza durability ya tecno. kwanza ina waranty ya miezi 12+1.
wana wawakilishi wao na technical support wao katika nchi nyingi za kiafrica ikiwemo dar, nairobi na kampala. sio kama nokia mpaka uende nairobii.

.
 
Nimevutika na Tekno,maduka mazuri ambayoo yana warant yapo wapi
 
una uzoefu au unajisemea tu??
au kwa akili yako kila china product ni feki??
angalia china prouducts zinazouzwa UK na US. wao wa ulaya wenyewe wanazikubali na kuziamini.
sio hizi products za china zisizona viwangu tunazoletewa na wafanyabiashara wetu wajanja,
kama hujui jaribu kuuliza durability ya tecno. kwanza ina waranty ya miezi 12+1.
wana wawakilishi wao na technical support wao katika nchi nyingi za kiafrica ikiwemo dar, nairobi na kampala. sio kama nokia mpaka uende nairobii.

.
kama kitu kikiwekwa warraty basi ni original tungekuwa tumeuziwa original vingi sana ninachoongelea hapa ni technical durability namaanisah hardware mechanism na sio warant wala mawakala mkuu kama unavo dai weye nazijua hizo tecno nje na ndani yake pia walausibabaishwe na software zilizopo ndani na mbwembwe nyiiingi za kudesa.
 
tatizo lako umeshakuwa brain washed kuwa vya wazungu ndio durable. lakini pia jiulize kama kitu hakidumu kwa nini akupe waranty wa mwaka mzima.??? na akuwekee service center hadi daresalama?? ni kwa kuwa hawana wasiwasi na uimara wa bidhaa zao. kinyumbe cha hapo kila leo bidhaa zao zingekuwa zinarudishwa.
nimenunua nokia original 6110 kutoka hungary ndani ya airport ya dubai na waranty yake lakini nilitumia miezi mitatu 3 ikajiharia, ikawa inajirestart na kujizima ovyo. na nillinunua tecno life pale kariakoo nikaitumia miaka 2 hadi nikaichoka bila ya hata kupoteza uwezo wake wa kukaa chaji. sijui una maoni gani kuhusu hili
sasa hapo vipi????
 
Tecno P3 is the real deal.. Dual core CPU,Front facing camera and flash in the back. Its basically an improved N3 na zote ni bei moja.
\
Mkuu Cestus Techno P3 ina kwenda kwa bei gani hapa bongo? na zinapatikana wapi hapa bongo?
 
Last edited by a moderator:
mimi nnayo betri ndo tatizo nachaji mara 2 kwa siku

kuhusu betry angalia setting yako, ikiwa kwenye log. mode inakula sana betri, dinna unatakiwa. uweke setting ya General mode. utasahau haya kuichaji. kiukweli simu hii mima nzuri sana dinna tumia OSs za android , dinna gb 8 mara nying huweka episode za movie na kuziangalia hapo.
naweza eleza zaidi kama kuna tatizi
 
Hawa TECNO kwa kweli wapo vizuri sana. Tuache kukalili kuwa kitu kinachouzwa bei kubwa ndio bora zaidi. Zamani watu walikua wanaamini bidhaa zenye nembo ya Sony au Philips ndizo bora zaidi, lakini siku hizi sio deal tena kwa maana unaweza kua na Singsung ukainjoi zaidi na tena Sony sio maarufu kwasasa kama vile Sumsung au LG. Sio vibaya kuwasifu Nokia kwakua wameshajijengea jina kubwa na sio vibaya kuwapongeza Tecno kwamaana wanajitengenezea jina zuri ambalo limeanza kuaminika. Naukubari sana moto wa TECNO.
 
Back
Top Bottom