Nimenunua penzi

mzee hizo spiritual informations unazipata wapi na mimi nifuatilie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unatutisha kaka.
 
Ila kweli!
Mimi nikitoka kugonga Malaya akili yangu huwa inawaza sana yani I feel guilty,
Itabidi niache tu
 
Mzee hyo ni zinaa na zinaa ni uchafu..
 
Yaani unaongeza stress badala ya kuziondoa,
Kwahiyo km mabinti hawaaminiki, vp malaya wanaaminika mkuu?
Tulia, tuliza akili, tafuta wa kuendana naye , huko kwa malaya utapoteza destiny ya maisha yako,
Unajichimbia kaburi kwa kila kitu,
Achana na malaya, , ,
Mwombe Mungu kwa imani yako atakuokoa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malaya hauzi penzi bali anauza K, coz ni chap chap hamna cha maandalizi wala nini, so hapo sema umenunua K
 
Ukiwa Ukiwa free naomba tuwasiliane PM kuna jambo unisaidie la kiroho
 
Chagua mada moja ya kuongelea basi, mbona umechanganya mambo lukuki? Unasabaisha ishindikane hata kueleweka. Ipi kati ya hizi unazungumzia?

1. Kwa mara ya kwanza umenunua penzi?

2. Una hali ngumu?

3. Visenti ulivyo navyo vinakufanya upoteze mwelekeo?

4. Huna mpenzi wa kuamnika?

5. Unawaza kuoa?

6. Una stress?

7. Umekonda? Au

8. Wasichana hawaaminiki, na wa rika lako ndo pasua kichwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…