Nimenunua penzi

Hivi kuna mtu mwenye pesa atajiuza? Acheni zenu nyie....

Hao malaya wote wanaojiuza wanatafuta pesa.
shangaa wewe

Hawa jamaa wanaropoka tu

Shida ni pesa hamna kingine


Kama watoto wadogo range 16-19
Wanaenda nunua hawa wadada kuna chimbo huu mkoa nilipo na wadada au wamama wanakubali kulalwa na wadogo zao au watoto wao unadhan shida itakuwa nini ni pesa tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo nyege zako wala sio hao malaya, yaani vinyege tu hivyo vinakuzingua, pole sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vyema sana mkuu,
 
Aiseee.
Yote yanawezekana.
Ila sio kila malaya anatumika kiroho.Wengine wapo tu kupambana na hali ngumu ya maisha.
Halaf ngoja kwanza, hiv unaposema malaya una maana gani? Maana tusije tukawa tunapata picture kuubwaaa hala mengine tuna ya ignore.
Mfano nimetembea leo na binti wa mzee flan najua kabisa ni mwanafunzi na si girlfrnd wangu..kesho nikatembea na mama amina najua kabisa ni mke wa mtu..kesho kutwa nikatembea na Ana, nikala tunda kimasiahra na najua fika Ana ni demu wa mchiz wangu..hiv hawa nao wanaingia kwenye kundi la malaya???...
Na je hao nao wamebeba hayo ma spiritual energy yanaweza kuharibu destiny yangu kama ilivyoelezwa hapo juu na mkuu PRO 90 ????
 
Mbali na kutimiza haja za kimwili, tendo, linahusisha pia mambo ya kiroho (kama agano la rohoni) hivyo kutembea na wasichana wengi kiroho sio nzuri kwa kuwa unafunga maagano pengine na watu ambao huwajui wamefunga maagano na wakina nani, hivyo kutembea na mtu anayejiuza sio nzuri sana.
 
Ahsante sana.Kwa hawa wasio jiuza nao sio safe pia una maanisha!!
Sasa ishauri nifanyaje maana , we mwanaume mwenzangu unaujua ugumu ukikukamata!!
Ahahaabha.
 
Ahsante sana.Kwa hawa wasio jiuza nao sio safe pia una maanisha!!
Sasa ishauri nifanyaje maana , we mwanaume mwenzangu unaujua ugumu ukikukamata!!
Ahahaabha.
Kabisa, as long as unajihusisha kwenye tendo ambalo sio rasmi (ambalo alijarasimishwa na Mungu), chakufanya ni ku control hisia zetu na kumshirikisha Mungu, kwa kuwa dunia yetu ya ndani ndio inajenga dunia ya nje, hivyo dunia ya ndani ikiwa dhaifu hata dunia ya nje haitokuwa imara hivyo hata hatma zetu hazitokuwa njema.
 
huitwa lycan hao viumbe
Hahah, hapana, mzeee.. Lycana wanahuwezo wa shape shifting, pia feeding yao ni tofauti.

Movie nyingi huwa ni idea zinazo toka kwa watu wenye experience na hayo mambo ya rohoni.

Ndo maana wenzetu wana develop characters kutokea ktk vitu halisi vya rohon, either kuuliza wahusika wawape details na kuomba ushirika wao ktk kudevelop hivi vitu.

Ishu kama idea za kidono, muku, kinkutwe, n. K hutumika mno sema ktk majina tofauti, characters wanapewa nguvu za namna, hiyo. Wabobezi wakionaga hizi vitu wanaelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we na mimi tuko sawa lakini mi nimewapiga chini natafuta pesa, sitaki mazoea kifala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…