Malaya wana haribu sana destiny mzee.Kwa mara ya kwanza nmenunua penzi, yaani nmelala na malaya,
nina hali ngumu, visenti nilivyo navyo vinanifanya nipoteze mwelekeo.
sina mpenzi wa kuamnika.
nawaza kuoa.
napoteza.
naloose control.
nina mambo mengi, mpaka inafkia wakati nayumba, nina stress, nmekonda.
wasichana hawaaminiki, na wa rika labgu ndo pasua kichwa.
mzee umeokoka?? wewe ni dini gani?? you are very spiritualMalaya wana haribu sana destiny mzee.
1.Wamebeba energy za watu wengi na hutumika sana rohon directly au indirectly .
2.Kuna ambao ni visu warembo mno na wana mpunga tu, ila wanafanya hivyo ni kama sehemu ya task zao za kiroho.
3. Wengine si malaya kabisa bali ni malaya wa misimu, inakuwa ni sehem ya tambiko au ku please roho flani kuendelea kufanya agano naye, ndio utakuta mtu anajiweka road au viwanja akifanikisha ana agano lake kuwa haonekani tena.
4.Wengine ni vigagula, yupo pale kuiba nyota na vitu vingine kupitia Sex
5.Wengine ni wakusanya sperm, ambazo zinakaz maalum. Unakuta mwongin hata humgongi ila unalal na fisi kichawi unajiona unakula demu mkali.
Wengine wanakusanya hizo condom, kazi inaendelea.
Deal na ishu zako kiroho, utasolve mengi ya mwilini pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, MUNGU NI MWEMA.
Umesema vema kabisa[emoji28].Mimi umalaya au kuendekeza ngono zembe huwa naamini inakuletea UKIMWI wa kiroho, maana unakuwa una too much illicit connections, unageuka mbeba taka za kiroho hata na za kimwili pia.
Kuna mmoja alikua Secretary wa ofisi fulan hapa Town Ana usafiri wake Subaru forester ila anajiuzaHivi kuna mtu mwenye pesa atajiuza? Acheni zenu nyie....
Hao malaya wote wanaojiuza wanatafuta pesa.
Ishu za giza mzee. Zina kazi nyingi tu, moja wapo ni kufyatua watoto wa kichawi.
Pesa anachukua Kama kawaAlikuwa hachukui pesa?
Halafu wanawake wenye magari na wana shida na pesa mbona wengi tu mzee baba.
Usione watu wanaendesha ukadhani shida zao chache...
Huyo anashida na pesa...