Nimenasa!

Haujaelewa nini hapo katika picha ya heaven on desert?
 
sasa wewe unaogopa nini kumwambia kuwa tunakula maisha tu ila mimi nina demu wangu mwenye maelongo nae.
 
Yani we hujui bajeti, hapo ungebinafsisha muanze kuishi wote, chumba chako mnakifanya bedroom, chake sittingroom....mjini mipango.
 
sasa wewe unaogopa nini kumwambia kuwa tunakula maisha tu ila mimi nina demu wangu mwenye maelongo nae.

Kwa nnavyomuona anaweza kunitegeshea nikaza nae..wl kil myself for tht....
 
Yani we hujui bajeti, hapo ungebinafsisha muanze kuishi wote, chumba chako mnakifanya bedroom, chake sittingroom....mjini mipango.

Hahhah....when t wil turn to bad tyms ndo ntajuta...
 
kwani ana tatizo gani? haiwezakani kabisa yeye kuwa mke?.na pi a mbn ni rahisi mwambie tuu kuwa una mtu wako kukuelewa sasa?
 
kwani ana tatizo gani? haiwezakani kabisa yeye kuwa mke?.na pi a mbn ni rahisi mwambie tuu kuwa una mtu wako kukuelewa sasa?

Hana tu vigezo vya kua mke wang....wazo la kumwambia naliona n jema zaid
 
Yaleyaleee ninayosemaga ... wanawake mara zote huwa 'wanatungoa' kuliko hata tunavyowangoa, ndo haya sasa! USHAURI: Kwa hiyo situesheni yako, ur inferior, amekutumia ukatumika and now baada ya kukuona mtamu na unafaa anataka kukumiliki, fanya hivi, kwanza mwambie akulipe kwa huduma ulizokuwa unampa, akishindwa ... mpige chini tena kwakumwangalia machoni kwani sio chaguo lako ... aggrrrhhhhhhh
 
Hahahha...wat a piece of advice...
 
Hana tu vigezo vya kua mke wang....wazo la kumwambia naliona n jema zaid
Penzi la kung'ang'aniza ni gumu sana kwasababu wewe utaumia kwakujilazimisha kuwa nae, na yeye ataumia kwa kuwa utakuwa humtreat inavyopaswa mwambie ukweli ili ujifree toka kwake .
Ila usirudie tena mambo ya kuanzisha mahusiano ambayo unaona hutafika mbali nayo.
 
There u are.....kwa kwel i wil never again!...not wth some one's feelings aisee...
 
Tafuta nyumba sehemu nyingine mbali kabisa uhamie!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…