Nimenasa!

We hata ukihama utakutana na mwingine huko uendakp, huwezi jizuia
Dawa ni kuongea nae kua mambo yenu hayana fyucha kila mmoja achukue time yake.
Good story btw
 
We hata ukihama utakutana na mwingine huko uendakp, huwezi jizuia
Dawa ni kuongea nae kua mambo yenu hayana fyucha kila mmoja achukue time yake.
Good story btw

Advice taken...thnx
 
Kuna mabinti wengine wanajua kunasa waume sana,ukifikiria kumuacha tu ashaongeza maufundi tayari hapo kwa 6*6 So inakuwa ngumu sana kujinasua.

Ndio atulizane sasa mwanaume ili wakati ukifika wafunge ndoa
 
Ukilikoroga lazima ulinywe...ndo kashakuzimikia mwenzako hapo
 
Ukilikoroga lazima ulinywe...ndo kashakuzimikia mwenzako hapo

Nataman nitumie kichina anielewe kirahic maana nkifanya mchezo ntajikuta naish na mtu na ndoa inaanzia apo...uuuuuwiiii mungu niepushe mm!!!
 
Nataman nitumie kichina anielewe kirahic maana nkifanya mchezo ntajikuta naish na mtu na ndoa inaanzia apo...uuuuuwiiii mungu niepushe mm!!!

Akuepushe na ndoa?? Acha kumchezea Mungu kijana
 
Ushauri wangu nipigie pande mm ahamie kwangu ili uwe huru

Kuna aliekuwah tayar...nsham-pm no zake...labda km utataka ujaribu ukute anakusubir ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…