Nimemzimia Lisa...

Nimemzimia Lisa...

Kusema kweli, nimejitahidi sana na anapendeza sana mke wangu, tatizo ni mdomo... Pia hanijali, mfano, hamfulii nguo, na kuniwekea chakula mezani. Nguo na chakula vinaandaliwa na wadada wa kazi. Je niache kulalamika?

Na aliekwambia Lisa yeye anafuaga nguo nani??
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe Wiyelele , umeshawaona wazee wa JF , maana usishangae shangae ukakuta mwana si wako, na utangaze dau la mahari wewe, maana hii itakuwa ndoa ya pili itabidi mahari nile mwenyewe sasa. ILA OLE WAKO WACHAGA WA KILEMA WAKUSIKIE UNATAKA KUWAIBIA MKE WAO KWA MBESA ZAKO LOH! WATAKUKULA KICHURI SHAURI LAKO
 
Wana JF, habari za siku nyingi...

Napenda niseme ukweli wa moyo wangu. Leo nimebahatika kuonana na kuongea na Lisa! Nilivyomuona tu, moyo wangu ukaridhika kwamba macho yamelenga penye mvuto mkali!. Ahh mtoto wa watu kaumbika, mcheshi na anaushauri mzuri. Nilimsogelea ili nimfahamu vizuri (si unajua taaluma zetu hizi zinatupa advantage fulani!).

Baada ya kukaa nae kama dakika arobaini hivi, tukaongea mambo ya social media. Nikapata nafasi ya kuuliza social media anazozipenda na alinitajia JF kwamba yeye ni mchangiaji mada tu. Tukaongea mengi, hadi kufikia wakati wa ku share majina tunayoyatumia hapa JF.

Nilivyojitambulisha kwamba naitwa WIYELELE, Lisa hakuamini. Alijua li WIYELELE ni jitu fulani maana picha aliyokuwa nayo ya WIYELELE ni tofauti na alivyoniona! Amenichekesha sana hadi basi maana ni muda nilikua sijacheka!

Kusema kweli, nadhani ningekuwa na Lisa kama mke wangu, au mke wangu angekuwa kama Lisa, haa hizo kelel zote za msingeziskia! Angekuwa hajaolewa, yaani angekuwa ka "portable air conditioner ka Wiyelele". Lisa, aliyekupata ana bahati, na akutunze mtoto wa watu ulieumbika! Nimekuzimia!
Preta je, ulishawahi kuonana naye uso kwa uso?
 
Last edited by a moderator:
...nilifikiri unamzungumzia Lisa Jensen!!...the current miss TZ....i met her couple of days ago at the city lounge...downtown..du!!woman was so kind and good to man...wonder why people tend to ignore her....lakini she seems a very kind and beautiful woman...and intelligent too......very rightly deceiving to be miss TZ....not like Wema et al...ma miss TZ waliopita..
 
Kusema kweli, nimejitahidi sana na anapendeza sana mke wangu, tatizo ni mdomo... Pia hanijali, mfano, hamfulii nguo, na kuniwekea chakula mezani. Nguo na chakula vinaandaliwa na wadada wa kazi. Je niache kulalamika?

Kwa hiyo katika maongezi yenu na Lisa alikwambia vyote hivyo yeye anafanya kwa mumewe...haya. Wiyelele yaani unaoa mke kwa ajili
ya kukufulii nguo!! Samahani lakini wajameni, hivi First Lady wa TZ huwa anamfulia nguo muheshimiwa?
 
Kusema kweli, nimejitahidi sana na anapendeza sana mke wangu, tatizo ni mdomo... Pia hanijali, mfano, hamfulii nguo, na kuniwekea chakula mezani. Nguo na chakula vinaandaliwa na wadada wa kazi. Je niache kulalamika?
hahahahaha
Niwazi kwa jinsi unavyo andika wewe ni tatizo zaidi ya mkeo, tatizo lako unafikiri dawa ya mdomo ni mdomo.

Tafadhali usije ukamtamani my Passion Lady maana nta hakikisha upati hata wasaha wa kuanzisha uzi.
 
Last edited by a moderator:
mkuu pole sana yale machozi ya haraka hayakumtoka mzee wako ahaaa kibording kipindi kile ungepiga mambo yetu yaleeeh aha ahaa.
 
bahati nzuri, Lisa ameniona, na unaweza kwa siri ukamu sms ili akuelezee alivyoniona. Sijifii ila najua mi ni msikivu sana. Akikuelezea nilivyo, ni sms for more info...

Kwa hiyo unataka kutwambia kwa siku moja tuu Lisa anaweza kukuelezea vizuri? hahahahalabda kama we si binadamu.
Pengine tabia uliokuwa nayo siku hiyo uliitengeneza kwaajili ya Lisa.

ALaf binadamu wanabadilika kwa mazingira, so complex.
Mi nafikiri mkeo ndio anaweza kukuelezea vilivyo si mwingine. kinyume na hapo niomaigizo tuu.

Niko tayari kuondoa manmeno yangu kama itahitajika.
 
Last edited by a moderator:
Unajua The boss, si kila anayeandika hapa kitu anamaanisha, mm nilivyomwelewa ni kwamba kaamua kunisifia tu lakini hakuna kinachoendelea, na ndiyo maana na mimi nikamuelekeza kwa akina wazee wa JF ili wamuelekeze njia.(Ninamaanisha ana Joke)
Na kama kweli anamaanisha , Mhhhhhhhhhhhh!!!! ..............??/

hahahahaha
huyu jamaa kakudondokea yani hadi anaona chake hakifai, hakika Lisa ni Lisa
 
Last edited by a moderator:
Wamweleweshe atakavyokupata kivipi? acha roho mbaya, huyo ni mtoto wa mwanamke mwenzio, unaona raha gani anapolalamika namna hiyo kwa ajiri yako, mpatie anachokitaka.

hhahahahahahahaha
Naona unachochea kuni.
 
hahahahaha
Niwazi kwa jinsi unavyo andika wewe ni tatizo zaidi ya mkeo, tatizo lako unafikiri dawa ya mdomo ni mdomo.

Tafadhali usije ukamtamani my Passion Lady maana nta hakikisha upati hata wasaha wa kuanzisha uzi.
bora umemwambia mapema honey
maana wapo wengi wazimikiaji wa
wake za watu lol!!
 
Wana JF, habari za siku nyingi...

Napenda niseme ukweli wa moyo wangu. Leo nimebahatika kuonana na kuongea na Lisa! Nilivyomuona tu, moyo wangu ukaridhika kwamba macho yamelenga penye mvuto mkali!. Ahh mtoto wa watu kaumbika, mcheshi na anaushauri mzuri. Nilimsogelea ili nimfahamu vizuri (si unajua taaluma zetu hizi zinatupa advantage fulani!).

Baada ya kukaa nae kama dakika arobaini hivi, tukaongea mambo ya social media. Nikapata nafasi ya kuuliza social media anazozipenda na alinitajia JF kwamba yeye ni mchangiaji mada tu. Tukaongea mengi, hadi kufikia wakati wa ku share majina tunayoyatumia hapa JF.

Nilivyojitambulisha kwamba naitwa WIYELELE, Lisa hakuamini. Alijua li WIYELELE ni jitu fulani maana picha aliyokuwa nayo ya WIYELELE ni tofauti na alivyoniona! Amenichekesha sana hadi basi maana ni muda nilikua sijacheka!

Kusema kweli, nadhani ningekuwa na Lisa kama mke wangu, au mke wangu angekuwa kama Lisa, haa hizo kelel zote za msingeziskia! Angekuwa hajaolewa, yaani angekuwa ka "portable air conditioner ka Wiyelele". Lisa, aliyekupata ana bahati, na akutunze mtoto wa watu ulieumbika! Nimekuzimia!
Na mimi nitajitahidi kuonana na Lisa... Kwani wewe umeweza una nini hata mimi nishindwe nina nini?!!!!
 
Last edited by a moderator:
Na mimi nitajitahidi kuonana na Lisa... Kwani wewe umeweza una nini hata mimi nishindwe nina nini?!!!!

Hahahahaahahaaaaaaa!!!! Tuko, yeye kaniona kaanzisha thread kuwa kazimia juu yangu , je wewe ukiniona si utakuja na thread umenifia, Akuuuuuuuuuuuu!! naogopa kuonana na wanaume wa JF!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom