Nimemzalisha ndugu yangu bila kujua, naomba msaada wa mawazo

Hamna haja ya kuficha, wekeni mambo wazi.

Ndio imeshatokea, mtafanya nini?

Iteni kikao muwajumuishe watu wazima kwenye Familia yenu na muwaambie ukweli.

Nafahamu ni jambo zito sana jinsi ya kuanza kuelezea, ingawa haitokuwa rahisi mwanzoni, itafikia wakati watakuja kuelewa tu.

Haitokuwa jambo zuri mtoto wenu akue kama hana Baba vile ilhali Baba wa Mtoto yupo
Asante sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leviticus 18:9,29
Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue.
Kwani mtu awaye yote atakayefanya machukizo hayo mojawapo, nafsi hizo zitakazoyafanya zitakatiliwa mbali na watu wao.
 
Ok all in all pole sana

Wewe mahusiano yako hukuwahi hata kuuliza wazazi wake?

Najua mapenzi hayana siri,je unataka kusema hakuna mtu ambaye ni ndg yako umjuaye aliyewahi kugundua upo kwa mahusiano na huyo binti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kama ulikua haujui usingeficha hio siri.. kuficha siri ni sawa na kukubaliana na uovu wenu.. hata hivyo undugu wenu ni wa mbali sana biologically hakuna effect sana.. genes kadhaa zilishachanganyikana kuanzia kwa babu yenu na baba zenu...
Kwahio wewe angalia kipi chema, kusema ukweli then kusubiri litakalotokea au kuendelea kuficha siri (hadi lini??)
Asante sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamii wanaoana binamu wa toka ni toke na zikipigiwa debe na dini na hasa Islam, sema kwa hili Waafrika wengi bado hawajalikubali hata kama wapo kwa imani hiyo

Ila natambua huko kimtaa mtaa wapo mabinam ( mtoto wa baba mkubwa/mdogo au mtoto wa Shangazi) wana chezeana ki aina


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ok all in all pole sana

Wewe mahusiano yako hukuwahi hata kuuliza wazazi wake?

Najua mapenzi hayana siri,je unataka kusema hakuna mtu ambaye ni ndg yako umjuaye aliyewahi kugundua upo kwa mahusiano na huyo binti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu binti nlimtongozaga baadae nikasepa mikoani nlivoludi nikakutanae malamoja na hyo aiku ndo tuka du so hatukupataga mda wa kujuwana zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda nikueleze kwa mifano , ufipani tunaishi kwa makabila yapo makabila Mbali mbali kama sinkala, siyame,simchindo,sinkonde nk sasa huyo binti tumeshare ukoo ambao ukifuatilia kiundani ndo unakuja kukuta kuwa babayake natakiwa nimwite baba

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe undugu wa kuokoteza hivyo acha ujinga fungeni ndoa mlee familia.
 
Asante kaka ila mimi nlikuwa sijuw ila baadae nlikuja kugunduwa kuwa binti alikuwaga anajuwa unduguwetu japo Hakuniambia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ntikwite -ichelanda chelekwii? Kama mmechangia kina babu mbona mbali sana ile huko ufipa wanapenda kurefusha ukoo hao kila unayetaka kuoa/kuolewa ni ndugu, nyie jitambulisheni muone watashauri vipi! Au mpe na mimba ya pili watawaruhusu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yameshatokea ya kutokea, ushauri wangu kwenu wawili.

Ni wakati wa binti kua wazi, atakapokua wazi nirahisi wazee wenu kusaidiana.



Ila kama Babu yako ndo baba wa baba zenu ( ba mkubwa...ba mdogo)..mwanangu inamaana miaka yote hiyo bila kujuana ?
 
Back
Top Bottom