Nimemwambia aagize kinywaji akachukua jackdaniel

thubutu yake hata hiyo kazi aitoe wapi?watu wa hivi maisha yashawaendea kombo wanatafuta sehemu ya kujifariji
Lofa kweli wewe unafikl wote ushuzi kama wewe, sisi kuagiza Diva vodka hata kumi hatuwazi pesa inaingia nikiwa nimelala
 
Unajikosha tu kiufupi una maisha magumu ndo maana unaleta picha ya kudownload ya mwaka 2020 eti cock tail,cock tail mafi yako
Sisemi kwa ubaya tena nakukubali ila mwenzangu una maisha magumu
Huna unalolijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…