Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,735
- 19,968
Dingi hujui tu .. .karibu ndoani .achana na hizo ndoa zenu za sukuma wiki.... Kama wimbo wa Jay Dee Tunasukumaaaa sukumaaaa siku ziende... Hii yangu ni ya vyeti ...sio ala za roho...hasira za mkizi...
We Mzee ... Mwanamke anakuita mjinga,mpumbavu mbele za watu .. umemjengea , umempa Biashara ,umemsomesha... na alikuwa mhudumu tu wa ofisi ... Umemuwezesha pote huko ... Ya Nini ... Bahati mbaya nimesomesha maendeleo ya jamii na yupo ustawi anajifanya anajua haki za wanawakeKwa hiyo Uanaume ni kukimbia tatizo?
Mnawaokotaga wapi?
Mimi huyu . ...nilivyokuwa namlea huyu Binti ..Mungu anajua....Utarudi tu we bado mnyonge
Sio Kila kuti linakaliwa ... Jifunze ....Kwa hiyo Uanaume ni kukimbia tatizo?
Mnawaokotaga wapi?
Karibu.... Unajua mwanaume wa kuweza kukaa na mke wake bila kulazimisha tendo la ndoa ni shujaaa au mnyonge...!!!?? Ukipata jibu utajitambua upo kundi Gani .... Pole....Utarudi tu we bado mnyonge
Yaani... Alikuwa demu wangu wa kwanza kabisa ..nilimpenda na nampenda sana ..anajua hilo... Ndio nikasema to make story short .. nafaulu form four 2003 .. yeye anafeli .... miaka 9 mbele namkuta nilipoajiriwa ... Nikamsaidia kuajiriwa kama mhudumu na nikamsaidia kusoma maana nilimpenda sana.. daaah .... Na nikafunga naye ndoa 2016...... hamjui tu maumivu... nimeomba uhamisho niondoke kabisa hili eneo....Doh, pole Sana aisee. Wanawake ifikie mahali tubadilike kdg. Hii haki sawa hii itatuponza...
Kusikiliza mashoga watoe ushauri wa ndoa yangu, hapana kwa kweli. Khaaaa!!!!
Kumbe tatizo ulitengeneza mwenyewe bana.We Mzee ... Mwanamke anakuita mjinga,mpumbavu mbele za watu .. umemjengea , umempa Biashara ,umemsomesha... na alikuwa mhudumu tu wa ofisi ... Umemuwezesha pote huko ... Ya Nini ... Bahati mbaya nimesomesha maendeleo ya jamii na yupo ustawi anajifanya anajua haki za wanawake
..nimemwambia haya yote hayo Hapo .chukua .... Hataki anataka turudiane wakati Mimi sitaki hizo dharau.
.
I can feel you brother pole sana, Japo tatizo umelitengeneza pale ulipompeleka akasome maswala ya haki sawa. Tafuta toto ingine anza upya mkuu.Yaani... Alikuwa demu wangu wa kwanza kabisa ..nilimpenda na nampenda sana ..anajua hilo... Ndio nikasema to make story short .. nafaulu form four 2003 .. yeye anafeli .... miaka 9 mbele namkuta nilipoajiliwa ... Nikamsaidia kuajiliwa kama mhudumu na nikamsaidia kusoma maana nilimpenda sana.. daaah .... Na nikafunga naye ndoa 2016...... hamjui tu maumivu ...nimeomba uhamisho niondoke kabisa hili eneo....