Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,156
Fafanua mkuu
Fafanua mkuu
Ushauri- jifunze kwanza kuandika ndio uanze kuwaza mademu/mahusiano!
Mkuu nikisema nianze kueleza vyote hum jf itachafuka, yaan nimeamua kupga shortcut kueleza mambo kuanzia mwez wa 12 mpaka mwez wa tano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa maelezo yake hapa me nishaelewa huyu hata kumtongoza bado, yan kaonana mara mbil na mwanamke kashindwa kuchukua namba kaja kuichukua baada ya miez 12. Maelezo ya mkuu hapa inaonyesha hajui kupangilia mistari vizuri, alifanyie kazi hilo kwanza, kama sisi kashindwa kutuandikia vizuri hapa huyo mwanamke anaemtaka atamwelewa kweli ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi mwenyewe siwez lakin yeye alicho kua anakifanya ni kunitafuta yaan kwa siku unakuta kakupgia sim hata mara 12 na sijui vocha alikuwa anatoa wapi maana mm nilkuw namtumia mara mojamoja, au kama hana salio atakubip weee sometimes unampgia.Mimi ninaishi Dar lakini mpenzi wangu akiwa anaishi Bagamoyo tu huo uhusiano lazima ufe naomba unifundishe jinsi ya kumaintain uhusiano wa namna hii.
Mkuu nikisema nianze kueleza vyote hum jf itachafuka, yaan nimeamua kupga shortcut kueleza mambo kuanzia mwez wa 12 mpaka mwez wa tano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nikisema nianze kueleza vyote hum jf itachafuka, yaan nimeamua kupga shortcut kueleza mambo kuanzia mwez wa 12 mpaka mwez wa tano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe mbinu mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tumia mbinu za kivita mkuu yan anaingia kingi mwenyewe mkuu ona huyo mtoto hapo sijamgusa na nimekutana nae mara mbili tu, alafu ni mdogo yan hata kuandika vizuri hajui ila ona anachosema, mwanaume nlivyopanga mashambulizi yan anajileta mwenyewe. Yan haelewi ila ndio kazama sasa. Daaah mkuu sikuiz tumestaafu gem ila ndio hivyo mkuu kufanya mazoezi muhimuView attachment 1439984
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huko nmesha toka saiv nnakaz yangKijana huko shule tumekupeleka usome siyo kuendekeza mapenzi, utayakuta ukimaliza shule we na huyo kipepeo
Sijatuma hela bdo mkuuUmekata mawasiliano na umetuma hela ??
Ujinga mtupu.
Anyway kuna mawili..uvumilie siku utakula mzigo, ingawa aliko yeye analiwa NA huenda kaolewa.
Au piga simu mtandao ulotumia kutuma pesa, wambie umekosea kutuma, kama hajatoa, pesa yako itarudi...utaitumia kumtumia mama yako kijijin uko ale !!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesema "nilisikia mwezi wa 12 mwaka huu anarudi" baadae ukasema" ... Siki zimeenda sioni dalili za kuja... " sasa leo ni tarehe 4 May hata nusu mwaka haujafika ujue.
Vumilia ikifika January 2021 ndo uje useme" sioni dalili za kurudi"
Swali la msingi hela ya nauli ulituma na ya kula njiani au?
Kitu kingine 2018 mpaka leo 2020 ni miaka miwili. Mkuu we mchunie tu hata mie jamaa yangu niliyemzungusha miaka yote kanichunia whatsapp hata hajibu. Na ilikuwa nikikohoa tu huyo keshajaa.
We mchunie mpotezee tu.