Tatizo jamaa aliyeogwa mtu wa kujiproud sana, msema maneno machafu. Alafu the way nivyoinunua nikikumbuka, inauma.
Kuwakomoa kanunue nyingine mbili uwahonge yeye na jamaa pia
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?
Jamaa ni nani? Mwanaume mwenzie?
Manake kama kahonga mwanamke its ok,lol. Sharing is caring
Kumbe akina Mlugo mpo wengi eheeee!! Kiswahili fasaha ni KUHONGA na si KUONGA
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?
kwa hiyo angemuhonga Mengi ungejikalia kimya!weweeee jiamini bana!Mwanaume mwenzangu, alafu kijana wa saloon tu. Mpenda kuchonga sana na kujiproud
Mimi nikuambie pacha nikihonga sihesabu wala sikumbuki..nshawahi kuhonga gari na wifi yako alivonizingua nikamwaga na mkweche nikamuachia...