Sure kama anammudumwite huyo jamaa mwambie arudishe unampa masaa 4 yakipita unaweka kila kitu hadharani
Unafikiri huyo mwizi ataishia hapo?Usipende kupeleka pua yako pasipo kuhusu.
DuhWakuu kwema? Ngoja niwape stori halafu mnishauri.
Nyumba niliyopanga ina vyumba 7 na wapangaj 6 cha saba ni Maza house na mume. Sasa jana nilikuwa nimechill chumbani kwangu nimelala mchana na palikuwa hakuna mtu hata mmoja, nikaamka nikakojisaidie ile natoka chumbani kwangu nikamuona jamaa (yeye ana chumba chake) anatoka chumbani kwa mwingine ambaye ni mdada na alikuwa hayupo kasafiri.
Leo huyo dada karudi kakuta kaibiwa sabufa na godoro.
Je, niseme nilimuona huyu jamaa anatoka chumbani kwake au nikaushe nisionekane snichi mazee. Nishaurini kabla sijafungua mdomo wangu😁.
Au dada ajifanye ana majiniWakuu kwema? Ngoja niwape stori halafu mnishauri.
Nyumba niliyopanga ina vyumba 7 na wapangaj 6 cha saba ni Maza house na mume. Sasa jana nilikuwa nimechill chumbani kwangu nimelala mchana na palikuwa hakuna mtu hata mmoja, nikaamka nikakojisaidie ile natoka chumbani kwangu nikamuona jamaa (yeye ana chumba chake) anatoka chumbani kwa mwingine ambaye ni mdada na alikuwa hayupo kasafiri.
Leo huyo dada karudi kakuta kaibiwa sabufa na godoro.
Je, niseme nilimuona huyu jamaa anatoka chumbani kwake au nikaushe nisionekane snichi mazee. Nishaurini kabla sijafungua mdomo wangu😁.
😏😏😏😏😏Ukiona mwenzio kanyolewa… jiandae huyo atawaibia wote kila mmoja kwa wakati wake.
Kwa kuwa mnaishi na wenye nyumba ongea na baba mwenye nyumba umpe hiyo taarifa ashughulikie naye (mwizi) mapema.