Nimemuona kipendacho roho JF

Nimemuona kipendacho roho JF

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,423
Reaction score
8,653
Katika tembea yangu kwenye majukwaa mengi JF, moyo wangu umempenda mdada mrembo asili yake ni Tanga, lakini kwasasa hayupo Tanga.

Yupo active sana kwenye kila uzi hasa Jukwaa hili nazani ushajijua.

Moyo wangu unateseka juu yako hasa nikitizama picha yako. Unaonekana ni mdada unaejieshimu, hijabu haikutoki kichwani, nywele zako hutaki zionekane, nakupenda sana hasa nikilitizama tabasamu lako nazidi kuzuzuka.

Please naelekea kuwa kichaa mwenzako juu yako.
 
193ccf54daa9a1dd30ff2a1e637116c7.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom