Ruge hajajibu hoja hata moja ya Lady Jd.. Tutuma za Lady Jd ni Clouds kuwatishia wasanii watakaoshiriki kwenye tamasha lake au watakaotaka kutoa colabo na yeye nyimbo zao hazitapigwa clouds.. Tuhuma nyingine ni kujaribu kuwashawishi wadhamini kutoshiriki kumdhamini yeye na bendi yake.. Na tuhuma nyingine ambazo ni mbaya zaidi ni mpango wa Ruge & Kusaga kumfanyia zengwe ili atimuliwe kwenye ukumbi anaoutumia.. Hizo ndo tuhuma nilizozisoma na kuzielewa toka kwa Lady Jd.. Ruge hajajibu hata moja zaidi ya kutengeneza platform ya yeye & Kusaga kuonekana victim kwenye issue..
Sasa na wewe unakuja kama Ruge.. Duuh.. Saidia basi kujibu tuhuma hizo..
Hii pia hainiingii akilini hivi utafukuzwaje kwenye ukumbi hali upo hapo kwa mkataba wa kisheria au huo ukumbi anapiga kienyeji? Mimi namshauri jide aende shule hajachelewa sana. Elimu itamfanya aweze kutunga hata uongo wenye akili lakini sio huu wa kitoto. Shule muhimu
Ruge hajajibu hoja hata moja ya Lady Jd.. Tutuma za Lady Jd ni Clouds kuwatishia wasanii watakaoshiriki kwenye tamasha lake au watakaotaka kutoa colabo na yeye nyimbo zao hazitapigwa clouds.. Tuhuma nyingine ni kujaribu kuwashawishi wadhamini kutoshiriki kumdhamini yeye na bendi yake.. Na tuhuma nyingine ambazo ni mbaya zaidi ni mpango wa Ruge & Kusaga kumfanyia zengwe ili atimuliwe kwenye ukumbi anaoutumia.. Hizo ndo tuhuma nilizozisoma na kuzielewa toka kwa Lady Jd.. Ruge hajajibu
mkuu huyo ni mdomo mwimgine wa clouds media...kwa skendo hii wengi akiwepo mleta mada watatumika sana kuisafisha clouds. kwa waliomsikiliza ruge na wanajua kureson hawez kuyumbishwa na ushabiki.
Hii pia hainiingii akilini hivi utafukuzwaje kwenye ukumbi hali upo hapo kwa mkataba wa kisheria au huo ukumbi anapiga kienyeji? Mimi namshauri jide aende shule hajachelewa sana. Elimu itamfanya aweze kutunga hata uongo wenye akili lakini sio huu wa kitoto. Shule muhimu
wasani wengi wana muogopa huyo ruge ambeye anadai kuwa anawainu si kweri anawafanyia dhuruma kwakua anamiliki kumbi nyingi za starehe
nafikiri ni mgeni katika haya mambo, hebu anza kwa kujiuliza Sugu alizungukwaje kwenye dili la malaria? then utaelewa nini ruge hufanya
wasani wengi wana muogopa huyo ruge ambeye anadai kuwa anawainu si kweri anawafanyia dhuruma kwakua anamiliki kumbi nyingi za starehe
Sugu alitaka kupewa mradi wa malaria na wamarekani . Lakini mwishowe akaonekana hana vigezo coz ule mradi ulikuwa ni mkubwa wa mabilioni sasa kumpa mtu asiye na mbele wala nyuma kisa mwanamuziki. Hana mke hana mtoto. Hana nyumba wala familia. Hata kampuni hana . Wala kundi la music. Na hata angepewa alitegemea clouds hao hao ndio wamtangaze. Wamarekani wanaona sio deal wakatafuta kampuni popular na yenye kundi la music ndio wakaipa clouuds fm na kundi tht. Sasa anaposema alizungukwa je alikuwa na mkataba wa kisheria? Na kama mkataba ulikuwepo. Why asingewashitaki hao wamarekani. Ukishindwa umeshindwa tu . Na kama huwezi huwezi. Na kwa kudhirisha kama wamarekani hawakukosea kumnyima mradi. Ona mwishowe akawachukua wahuni wenzie na kuanza kutukana clouds kuwaita mashoga. Je alipata nini mwishowe ? Kwa nini asingefungua kesi afaidike alipwe fidia. Kwa mwenye akili ataelewa

Ukitaka kujua alichokipata bada ya kuanza kuwaita mashoga akiwa na wahuni wenzake, muulize Ruge kwa nn alitaka apatanshwe na wahuni.
Huna uwakika wakati Sugu anapigania Malaria No More hakuwa na kampuni? We unajua nafasi aliyokuwa anaplay January Makamba katka Malaria No More wakati yupo ikulu?
Who is jay dee katika nchii? Ana elimu gani au kipaji gani? Unaweza ukajibu simple kuwa alikuwa mtangazaji wa clouds je utangazaji alibebwa au alikuwa na vyeti? Nani angemjua jey dee bila clouds? Watu watasema ana kipaji .kama una kipaji means una washabiki . Hivi kama una kipaji utaogopa radio isipopiga nyimbo. Kuna radio ngapi tanzania au duniani . Wakikubania clouds peleka nyimbo yako radio zingine ikibidi hata kenya na uganda. Ruge amesema watanzania muache ubinafsi na mkubali kupokezana vijiti . Wewe unataka usikike wewe tu kwani wewe nani kama vipi fungua radio yako piga nyimbo zako usiku kucha. Au rekodi harafu uza si una washabiki. Au nyingi haisikiki hadi ipigwe clouds . Gadna habash bila clouds angeishia huko mwanza na kumbuka alikuwa mlokole.nani angemjua gadna. Nani angeenda nyumbani lounge kama sio kivuli cha clouds. Jay dee anasema alinyonywa . Hivi utapaje mafanikio bure. Kikwete alisema kula na wewe uliwe. Mpaka alisema kama wewe maarufu basi hama ccm. Clouds ilikuwepo , ipo na itaendelea kuwepo . Walikuwepo watu maarufu kama akina kaka bonda ,masudi kipanya na wengineo wengi je wapo wapi sasa.kama wana vipaji mbona kimya. Clouds ni radio binafsi na inaendeshwa kibinafsi ila inafuata sheria . Kama unaona unaonewa kashitaki . Mbona mnapopata faida kupitia clouds hamsemi