Who is jay dee katika nchii? Ana elimu gani au kipaji gani? Unaweza ukajibu simple kuwa alikuwa mtangazaji wa clouds je utangazaji alibebwa au alikuwa na vyeti? Nani angemjua jey dee bila clouds? Watu watasema ana kipaji .kama una kipaji means una washabiki . Hivi kama una kipaji utaogopa radio isipopiga nyimbo. Kuna radio ngapi tanzania au duniani . Wakikubania clouds peleka nyimbo yako radio zingine ikibidi hata kenya na uganda. Ruge amesema watanzania muache ubinafsi na mkubali kupokezana vijiti . Wewe unataka usikike wewe tu kwani wewe nani kama vipi fungua radio yako piga nyimbo zako usiku kucha. Au rekodi harafu uza si una washabiki. Au nyingi haisikiki hadi ipigwe clouds . Gadna habash bila clouds angeishia huko mwanza na kumbuka alikuwa mlokole.nani angemjua gadna. Nani angeenda nyumbani lounge kama sio kivuli cha clouds. Jay dee anasema alinyonywa . Hivi utapaje mafanikio bure. Kikwete alisema kula na wewe uliwe. Mpaka alisema kama wewe maarufu basi hama ccm. Clouds ilikuwepo , ipo na itaendelea kuwepo . Walikuwepo watu maarufu kama akina kaka bonda ,masudi kipanya na wengineo wengi je wapo wapi sasa.kama wana vipaji mbona kimya. Clouds ni radio binafsi na inaendeshwa kibinafsi ila inafuata sheria . Kama unaona unaonewa kashitaki . Mbona mnapopata faida kupitia clouds hamsemi
Ruge hajajibu hoja hata moja ya Lady Jd.. Tutuma za Lady Jd ni Clouds kuwatishia wasanii watakaoshiriki kwenye tamasha lake au watakaotaka kutoa colabo na yeye nyimbo zao hazitapigwa clouds.. Tuhuma nyingine ni kujaribu kuwashawishi wadhamini kutoshiriki kumdhamini yeye na bendi yake.. Na tuhuma nyingine ambazo ni mbaya zaidi ni mpango wa Ruge & Kusaga kumfanyia zengwe ili atimuliwe kwenye ukumbi anaoutumia.. Hizo ndo tuhuma nilizozisoma na kuzielewa toka kwa Lady Jd.. Ruge hajajibu hata moja zaidi ya kutengeneza platform ya yeye & Kusaga kuonekana victim kwenye issue..
Sasa na wewe unakuja kama Ruge.. Duuh.. Saidia basi kujibu tuhuma hizo..
kwa maoni yangu maelezo ya Ruge yamejistosheleza
maelezo yake pumba tupu. ameanzisha band ili amkomoe komando ?