Nimemuacha rasmi leo!

usije ukatupotezea muda wakati haulipi mtu mwenyewe weka picha kwanza
 
Semegiiiii unapenda mikia ya kondoo eeh?

hivi yule mwanao wa tano keahamaliza shule sasa? (samahani, hilo jina lako gumu, hata uzaramoni watu wanaitwa mjomba au babu)

Mkia wake supu shemeji yake mtu....huu mpango wako wa kunichafua kisiasa utagota mwamba...team #ZZK
salamu kwa yule mtu mchungu kama Kristapen....#umeelewa
 
Weka picha ya sura yako tukuthaminishe kwanza

Kama ana mvuto mm naomba nifanye naye bizz leo

||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||
 
una mambo wewe sikuwahi kujua kusini ndo wapi

Nisaidie nami, ndiyo wapi huko?

||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||
 
usije ukatupotezea muda wakati haulipi mtu mwenyewe weka picha kwanza

Hawezi kukuwekea picha mwana wewe Fukara yy anataka wenye hela

||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||
 
Last edited by a moderator:
Afu unatufundishia Tabia chafu wadada wanojiheshimu JF. Kwani ushauri huwezi kupata kwa marafiki wa aina yako ulionao karibu (mapepe wenzio) nao? Kila kitu JF!!! Si kila kitu upost bana. Utakuja kukumbuka shuka , kumekucha!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…