Machmadem
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 758
- 941
Habar zenu poleni na majukumu
Niende kwenye mada, takriban mwezi na sehemu umesha kata huyu binti nilimpiga kibuti cha kimya kimya baada ya mizinga kushamiri ndipo nilipoona kuutua huu mzigo wa katani .
Kiukweli sikuwahi ku benefits kwake zaid ya papuchi tu na ukizingatia anajishugulisha na kazi za saloon mara chache chache kuna wakati nakua tyte au nimekwama ki uchumi lakini sikuwahi kupata msaada wake hata sent 5.
Huyu bint nimedate nae almost 3 months nikaanza kusoma nyendo zake taratibu mpaka nilipo jiridhisha na kupata kile nacho taka.
Sasa kituko nimembwaga manyanga lakini naona vijembe vingi huko WhatsApp sasa sijui mantiki kuu ni nini hasa
Naombeni ushauri nimfanyaje kumjibu siwezi na status nikiweka yeye ndo mstari wa kwanza ku view utazani anashinda mtandaoni kuni subiria mm nipost matukio yangu