Nimemtumia SMS Mama Mkwe kimakosa

Nimemtumia SMS Mama Mkwe kimakosa

Ni mama mkwe gani anaweza kumuomba mkwe mtaji, tena kwenye simu, why asitumiwe binti yake (mke).
 
Ni mama mkwe gani anaweza kumuomba mkwe mtaji, tena kwenye simu, why asitumiwe binti yake (mke).
wale wanaokaa mjini watakuwa wamenielewa,siku hzi amna kuogopana,Kuna muda mnazoeana had unawaza huyu n mamamkwe kweli?,(hasa hasa wale wapiga mtungi)

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Duuuuuh hatareeeh sanaaah, sasa heshima iko wapi? Ndo maana mnatumiana text zisizofaa,
Je huyo mam akimuambia mkeo itakuaje? Kuhusu text uliotuma kwake?
 
Kitu mkeka ulinoga mzeebaba.....hadi mamamkwe akawa generator😂😂😂...noma sana,ndo wanakusubiria ukaliwashe man.
 
Ila mkweo kafeli Aisee..kukuomba pesa live bila chenga!!!!..makubwa.
Haya fanya utume uzime msala.
 
Kama hujapeleka mahari bado jiandae kisaikolojia maana inaweza isipokelewe
 
Back
Top Bottom