Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 177,066
- 194,903
Kwa Baadhi ya wanawke hapana/sitaki inaaminisha ndiyo lakini subiri kwanza nikuchunguze. Hiyo hata wewe inaweza kukutokea kwamba ukishajua mwanamke fulani anakutaka basi hutoacha kumuangalia angalia popote utakampo mkuta hata kama ulimwambia hapana.