Nimemtongoza kakataa ila hachoki kuniangalia

Nimemtongoza kakataa ila hachoki kuniangalia

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
Habari zenu wana jf kuna bint nimemtongoz na kanikatalia pia ila hachoki kuniangalia i mean most of time i observe she is watching me even thuogh mm sina habar nae tena
 
you never understood her i guess .. her "NO" means "YES" so don't be an a.s.s.hole do something about it..
 
Kwa hiyo mtu akikukataa haruhusiwi kukuangalia???????
Wanaume mnapenda sana visasi vya kijinga khaa!!
Inawezekana anakuangalia kwasababu anakuonea huruma jinsi unavyohangaika kujifanya huna shida nae wakati ushamtongoza, hahahahahah
 
Habari zenu wana jf kuna bint nimemtongoz na kanikatalia pia ila hachoki kuniangalia i mean most of time i observe she is watching me even thuogh mm sina habar nae tena

It seems kakuona kituko!!
 
quote-don-t-worry-over-what-other-people-are-thinking-about-you-they-re-too-busy-worrying-over-what-you-anonymous-353905.jpg
 
Huyo Bado Anakutaka.Kwahiyo Husikate Tamaa.Test Zali Tena.Ila Mpige Kwanza Na Ofa Za "Kiepe Yai" Kama Mbili Tu Kwisha Habari Yake.Atageukia Mwenyewe "Kibra" Unamchinja Kilaini Tu.
 
Rudi tena kama Uko serious !! She seems don't trust if Ya that serious !!!
 
Kwa hiyo mtu akikukataa haruhusiwi kukuangalia???????
Wanaume mnapenda sana visasi vya kijinga khaa!!
Inawezekana anakuangalia kwasababu anakuonea huruma jinsi unavyohangaika kujifanya huna shida nae wakati ushamtongoza, hahahahahah

hahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom