Nimemtongoza kaamua kuniblock WhatsApp

Nimemtongoza kaamua kuniblock WhatsApp

Unaonekana ni Mwanaume dhaifu sana,ulijishusha sana kwa huyo mwanamke mpaka akakudharau,hukumuonyesha confidence ya kiume,ulikua unamfuata fuata sana na kumjali sana mpaka akakuona kua wewe huna thamani kwake,

Ndio maana watu husema wanawake hupenda Bad guys,Mwanamke usimuonyeshe kua unampenda sana au kumjali sana,au huwezi kumuacha,hapo lazima akudharau na kukushusha thamani,

Huyo Mwanamke achana nae,endelea na maisha yako,hata ikitokea akakurudia,usimpokee,ukifanya kosa la kumpokea tena basi huko mbeleni jiandae kwa maumivu makali zaidi ya haya.

Be strong,kaza kiume.
Ukisema hivi nakumbuka kitabu kimoja kinaitwa No more Mr nice guy. Hiki ni balaa kama wewe ni muumini sana utaona jamaa anakufundisha roho mbaya. Ila ndy anakufundisha maisha.
 
Mkuu unajua namna ya kupiga nyeto?? Hebu nitumie namba yako ya Whatsapp nikutumie clip ya mafunzo ya kupiga nyeto ili uache ujinga
 
Hello members,
Kuna huyu msichana nimekutana nae somewhere. Tumekuwa tukiwasiliana juu ya masuala mbali mbali ila nikaja kugundua anafaa kuwa mke. Ikabidi nianze kuomba appointment ila sikufanikiwa so nikamweleza kupitia WhatsApp jinsi ninavyompenda. Msichana kanambia tuzungumzie mambo mengine sio mapenzi. Sasa juzi nikamtumia meseji ya kumtakia wakati mwema kuniblock WhatsApp.
Dah imeniuma sana
Pole hahupo mwenyewe tupo wengi , kikubwa tusikate tamaa .
 
Hello members,
Kuna huyu msichana nimekutana nae somewhere. Tumekuwa tukiwasiliana juu ya masuala mbali mbali ila nikaja kugundua anafaa kuwa mke. Ikabidi nianze kuomba appointment ila sikufanikiwa so nikamweleza kupitia WhatsApp jinsi ninavyompenda. Msichana kanambia tuzungumzie mambo mengine sio mapenzi. Sasa juzi nikamtumia meseji ya kumtakia wakati mwema kuniblock WhatsApp.
Dah imeniuma sana
Wewe siyo mwanaume unaumia mwanamke tu 🤣 🤣 🤣 kukublock

Je kama angekuwa wako akakuacha si ungejiua wewe

Hufai kabisa kapime akili, mwanaume anatongozaje demu moja

Kula viwalo kula vzr fanya tizi

Wanawake wajigonge wenyewe

Simba, chui huwa anachagua windo lake na kupigia msitari akianza mbio hata wangekuwa mia moja hapotezi focus mpaka ampata tena kwa nguvu wewe unatuma ka sms ka hovyo badala ya mwamala 🤣🤣🤣🤣

Mwanaume ndiye anayetamkiwa uck mwema 😜😜😜😜
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom