Unaonekana ni Mwanaume dhaifu sana,ulijishusha sana kwa huyo mwanamke mpaka akakudharau,hukumuonyesha confidence ya kiume,ulikua unamfuata fuata sana na kumjali sana mpaka akakuona kua wewe huna thamani kwake,
Ndio maana watu husema wanawake hupenda Bad guys,Mwanamke usimuonyeshe kua unampenda sana au kumjali sana,au huwezi kumuacha,hapo lazima akudharau na kukushusha thamani,
Huyo Mwanamke achana nae,endelea na maisha yako,hata ikitokea akakurudia,usimpokee,ukifanya kosa la kumpokea tena basi huko mbeleni jiandae kwa maumivu makali zaidi ya haya.
Be strong,kaza kiume.